Results for naomba ruhusa ya kusafiri siku ya... translation from Swahili to English

Swahili

Translate

naomba ruhusa ya kusafiri siku ya jumatatu

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

naomba ruhusa ya kusafiri siku ya jumatatu

English

i ask permission to travel on monday

Last Update: 2023-09-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naomba ruhua ya kusafiri siku ya jumatatu

English

i ask permission to travel on mondayha

Last Update: 2022-06-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

naomba ruhusa ya siku tano kwa ajili ya kufanya

English

i ask for five days' permission to do so

Last Update: 2021-12-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

naomba ruhusa ya kujiendeleza kielimu katika masters social work

English

Last Update: 2020-12-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mashitaka hayo yalianza siku ya jumamosi na kukamilika siku ya jumatatu.

English

the trial started on saturday and ended on monday.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

aldi pia ilizindua kikomo cha kifurushi kimoja, siku ya jumatatu.

English

aldi also introduced a one-pack limit, on monday.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kampuni ya soccerid iliarifu siku ya jumatatu kuwa itaingiza ulaya mapembe haya yaliyosababishwa utata huko afrika kusini.

English

the company soccerid reported monday to import the controversial south african horn to europe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nchini marekani, anaenziwa kwa sikukuu ya taifa, inayoadhimishwa kila mwaka siku ya jumatatu ya tatu ya mwezi januari.

English

in the united states, he is honored by a national holiday, observed the third monday in january of each year.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watu watano wameshauawa, miongoni mwao akiwamo mvulana wa miaka 14 aliyeuawa siku ya jumatatu.

English

five people have been killed, including a 14-year-old boy who was shot on monday.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

au habari za kifo cha jfk zisitanagzwe mpaka siku ya jumatatu inayofuata ya novemba 25, 1963?

English

or jfk's death going unreported until the following monday, november 25, 1963?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku ya jumatatu , gazeti la mtandaoni la sabr lilitoa taarifa kuwa, waandamanaji waliokuwa wanashikiliwa walishaachiliwa:

English

on monday , sabr online newspaper reported that all detained protesters have been released:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

makala za tukio hili katika mitandao ya kijamii imekuwa ikichangiwa na wastani wa watumiaji wa mtandao 1000 kwa kila makala, kama hii hapa inayoshinikiza maandamano ya tano siku ya jumatatu, juni 17.

English

the social movement's posts have been receiving an average of 1000 replies from netizens per post, like this one calling for a fifth demonstration on monday, june 17.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wanablogu waishio ethiopia wameharakia kuitetea rekodi ya usalama wa safari za ndege za nchi hiyo siku ya jumatatu baada ya ndege moja kuanguka karibu na beirut, ikihofiwa kupoteza maisha ya watu wote 90 waliokuwepo.

English

ethiopia-based bloggers rushed to defend the safety record of the country's national airline on monday after one of its planes crashed near beirut, with all 90 people on board feared dead.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku ya jumatatu asubuhi, mei 27, wataalamu wa afya walikutana katika jengo la cineteatro gilberto mendes, huku wameshika sahani tupu kwenye mikono yao.

English

on monday morning, may 27, health professionals met at the cineteatro gilberto mendes, holding empty plates on their hands.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nilishaongea na wichoka kuhusu sb. nitahitaji siku ya jumatatu na nyingine mwezi wa kwanza kwa bei ya 4000 + vat naomba utambulisho wako

English

thank you very much my friend take your time

Last Update: 2013-01-10
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku ya jumatatu tarehe 8 machi, wafanyakazi wote 16 kutoka nje ya nchi, wakiwemo wazazi 10, na watoto 13 waliozaliwa nchini humo, waliambiwa kuwa wataondolewa kutoka katika eneo na nchi hiyo.

English

on monday 8th march, all 16 overseas workers, including 10 parents, and 13 natural-born dependents, were told they were to be evicted from the site and country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati nchi imo kwenye hali ya kuchanganyikiwa na bei kupanda kwa ghafla pale “malema laini” ilipofika kwa wauza magazeti, wanachama wa ngazi za juu wa anc walikutana kwenye mkutano wa dharura siku ya jumatatu ili wasuluhishe mgogoro mpya zaidi ndani ya chama.

English

with the country in a tizz after sizzling reactions to severe price hikes as “tenderised malema” hit the newsstands, fictitious members of the anc top-brass met at an emergency meeting on monday to resolve the latest crisis in the party.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya wiki za maandamano ya amani katika idara za ng'ambo za ufaransa za guadeloupe na martinique, mambo yaligeuka na kuwa ghasia siku ya jumatatu, polisi na waandamanaji walipambana katika jiji kubwa la guadeloupe, pointe-a-pitre.

English

after weeks of largely peaceful protests in the french overseas departments of guadeloupe and martinique, things took a violent turn on monday, as police and demonstrators clashed in guadeloupe's largest city, pointe-à-pitre.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mnamo siku ya jumatatu, ma'mbeki, kama anavyojulikana nguli huyu katika medani za siasa za afrika ya kusini mwenye umri wa miaka 92 alisema kwamba alikuwa na taarifa kuhusu mipango hiyo na aliiunga mkono ili kukigawa chama cha anc kwa sababu hana imani na hali ya baadaye ya chama hicho chini ya rais jacob zuma.

English

on monday, ma’mbeki, as the 92-year-old struggle veteran is affectionately known, said she was aware of the the plans and backed the move to split the anc as she saw no future in the organisation under current president jacob zuma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mnamo tarehe 14 desemba, siku ya jumatatu, mwanablogu bashir hazzam na mmiliki wa mgahawa wa intaneti abdullah boukhou walihukumiwa kifungo cha miezi minne jela kwa huyo wa kwanza na mwaka mmoja kwa huyo wa pili pamoja na kulipa faini ya mad 500 (sawa na dola za marekani 63) kila mmoja katika mahakama ya goulmim.

English

on monday, december 14th, blogger bashir hazzam and internet cafe owner abdullah boukhou were sentenced to four months and one year, respectively plus a fine of mad 500 (usd 63) each, in a goulmim court.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,953,440,997 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK