Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nguzo ya umeme hadi kwenye nyumba
electric pole
Last Update: 2021-09-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kisha pahala pa kuchinjiwa kwake ni kwenye nyumba ya kale.
after their place of sacrifice is at the ancient house.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunakataa kukubali mgawo wa kimfumo wa umeme unaolazimishwa kwenye nyumba zetu.
we refuse to accept the systematic rationing imposed in our homes to supply electricity.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
basi anaye hiji kwenye nyumba hiyo au akafanya umra, si kosa kwake kuvizunguka.
it is no sin for one who visits the sacred house (in mecca) to walk seven times between (safa and marwah.)
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mita 100 kutoka kwenye nyumba yangu, gari lilijaribu kutuzuia na wakatuelekezea bunduki.
about 100 meters away from my house, a car tried to stop us and they pointed machine guns at us.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nilipowasili tarle, niliona baadhi ya watu wakiondoa vitu wao wenyewe kutoka kwenye nyumba zao.
when i arrived in tarle, i saw that some people were clearing the things at their house by themselves.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
taiwan: kufukuzwa kwenye nyumba kwa nguvu kwa familia kwaitia dosari sheria ya ufufuaji miji
taiwan: a family's forced eviction casts shadow on urban renewal act · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ghafla, watu watatu waliokuwa wametumwa kwangu kutoka kaisarea waliwasili kwenye nyumba niliyokuwa nakaa.
and, behold, immediately there were three men already come unto the house where i was, sent from caesarea unto me.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na kwa ajili ya mwenyezi mungu imewajibikia watu wahiji kwenye nyumba hiyo, kwa yule awezae njia ya kwendea.
and [due] to allah from the people is a pilgrimage to the house - for whoever is able to find thereto a way.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alishikiliwa na polisi wa kairo kwa muda wa saa saba kabla hajaruhusiwa kupiga simu kwenye nyumba ya watawa wenzake.
he was detained by the police in cairo for another seven hours for interrogation before he was permitted to telephone his community of friars.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika hao nyinyi mna manufaa mpaka muda maalumu. kisha pahala pa kuchinjiwa kwake ni kwenye nyumba ya kale.
, there are advantages for you in these (cattle) up to a time, then their place is the ancient house for sacrifice.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hebu hukuwaona wale walio badilisha neema ya mwenyezi mungu kwa kufuru, na wakawafikisha watu wao kwenye nyumba ya maangamizo?
beholdest thou not those who returned the favour of allah with infidelity and caused their people to alight in the dwelling of perdition:
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jina halisi la mampi ni mirriam mukape. baada ya kuwa kwenye nyumba hiyo ya big brother kwa majuma matatu, washindani wenzake walipendekeza atolewe.
mampi, real name mirriam mukape, lasted three weeks in the house before she was nominated for eviction by other housemates.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya zangu katika bonde lisilo kuwa na mimea, kwenye nyumba yako takatifu, ewe mola wetu mlezi, ili washike sala.
i have made some of my offspring settle in a barren valley near your sacred house! our lord!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na kwa ajili ya mwenyezi mungu imewajibikia watu wahiji kwenye nyumba hiyo, kwa yule awezae njia ya kwendea. na atakaye kanusha basi mwenyezi mungu si mhitaji kwa walimwengu.
and hajj (pilgrimage to makkah) to the house (ka'bah) is a duty that mankind owes to allah, those who can afford the expenses (for one's conveyance, provision and residence); and whoever disbelieves [i.e. denies hajj (pilgrimage to makkah), then he is a disbeliever of allah], then allah stands not in need of any of the 'alamin (mankind and jinns).
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
basi anaye hiji kwenye nyumba hiyo au akafanya umra, si kosa kwake kuvizunguka. na anaye jitendea mwenyewe kheri basi bila ya shaka mwenyezi mungu ni mwenye shukrani na mjuzi.
indeed safa and marwah are among the emblems of allah: it is, therefore, no sin for him, who performs hajj or `umrah to the house of aiiah, to run between the two hills; and allah knows and appreciates him who does any good with a willing heart.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"mfanyakazi wa ndani anapotoroka kutoka kwenye nyumba ya mwajiri wake, kituo cha polisi hakiwezi kufanya lolote kwa sababu hakuna sheria dhidi ya wafanyakazi wa ndani wanaotoroka.
"when a maid runs away from her employer's house, the police station is unable to act because there's no law criminalizing runaway maids.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mola wetu mlezi! hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya zangu katika bonde lisilo kuwa na mimea, kwenye nyumba yako takatifu, ewe mola wetu mlezi, ili washike sala.
"lord, i have settled some of my offspring in a barren valley near your sacred house so that they could be steadfast in prayer.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ishara zote, kitabibu, kutoka kurugenzi ya uendeshaji mashtaka, kutoka kwenye familia na kutoka vyanzo vingine zinaashiria kuwa rais kwa masikitiko alifariki dunia jana na yupo kwenye nyumba ya mazishi huko afrika kusini.
all indications, medical, dpp, family and others sources indicate the president sadly passed away yesterday and he is at a funeral home in south africa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
watu wasiopungua 15 -wakiwemo wanazuoni, wanaharakati na jamaa wa wahanga waliouawa kwenye ghasia za tiananmen – walihudhuria mkutano huo kwenye nyumba ya mtu binafsi jijini beijing mnamo mei 3, 2014.
at least 15 people – scholars, activists and relatives of the victims killed in the tiananmen crackdown – attended the gathering at a private home in beijing on may 3, 2014.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: