Results for nashukuru kua upo pamoja na mimi ... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

nashukuru kua upo pamoja na mimi kila jambo

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nina shukulu ndugu jamaa na malafiki kwa kuwa pamoja na mimi katika mwaka 2017 mulini shauli vyema kabisa na nimefanikiwa sana nasema asante pia ninaomba tushikamane zaidi katika mwaka 2018 mungu atulinde

English

i am very happy relatives and friends for being with me in 2017 in a very good and very successful manner i say thank you also i pray for more cooperation in 2018 god will protect us

Last Update: 2017-12-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pamoja na ukweli kwamba mchakato wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na mimi ulikimbizwa na haki haikufuatwa kiasi kwamba haki zangu za msingi zilipuuzwa, haki ambazo raia wote wa thailand wanastahili, ninaamini kwamba nilifanya kila nililoweza kujitetea.

English

despite the fact that the process to impeach me was rushed and due process was ignored to the extent it stripped me my basic rights which every thai citizen is entitled to, i believed that i did my best to present my case.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwaka 2013, edom, befeqadu, zelalem pamoja na mimi tulifanya kazi ya pamoja ya kuandaa taarifa ya hali ya uhuru wa kujieleza nchini ethiopia ambayo baadae iliwasilishwa kwenye tume ya umoja wa mataifa ya haki za bidamu kwa ajili ya mapitio yao ya jumla ya mara kwa mara.

English

in 2013, edom, befeqadu, zelalem and i worked together to produce a report on the state of freedom of expression in ethiopia which later was submitted to united nations commission on human rights for their universal periodic review.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,761,990,788 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK