From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
familia iliyotiliwa mkazo zaidi ilikuwa ni ile ya ndugu abdullah al-ayaf.
the family that got the most attention was that of abdullah al-ayaf.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa hakika sababu ni ile ile ya kwa nini vilabu 20 vya ligi kuu huwa havifuzu ligi ya mabingwa.
exactly the same reason the 20 premier league clubs do not go to the champion's league.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
(a) kuilinda ndoa kuwa ni ile kati ya mwanaume na mwanamke nchini uganda;
(a) to protect marriage as that only between a man and a woman in uganda;
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama kuna maneno matupu ambayo yanatumika katika hali hii ni ile ya "historia kujirudia yenyewe."
if there is a cliché that applies in this situation is that of “history repeats itself.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
hakika nyumba ya kwanza walio wekewa watu kwa ibada ni ile iliyoko bakka, iliyo barikiwa na yenye uwongofu kwa walimwengu wote.
behold, the first house (of prayer) established for mankind is the one at bakkah: it is full of blessing and a centre of guidance for the whole world.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ni ile tu kwamba mtindo wake wa maisha uko juu kupita kiasi kwamba anaweza kukumbana na ugumu wa kulipia anavyovitumia kama angekuwa alipwe mshahara wa kawaida wa waziri katika nchi zilizoendelea.
it is just that her standard of living is so inconceivably high that she may face difficulties making ends meet if she were to be paid the average salary of a minister in the developed world.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
makala ya mwisho kuchapishwa kwenye blogu hiyo ni ile ya tarehe 15 agosti, na ambayo ilieleza kwamba kesi ya hossein ilimalizika wiki kadha za nyuma :
the last post on the family blog is dated august 15, and says that hossein's trial ended weeks ago :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa chris wa blogu ya kombe la dunia, vuvuzela ni “ile sauti kubwa ya jeshi la wadudu (kama vile nzige)”:
to chris of world cup blog, the vuvuzela is "that giant swarm of insects...":
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
hata hivyo, mada iliyowafanya washiriki washikwe na hasira, ilikuwa ni ile iliyotolewa na mshiriki wa ki-syria razan ghazzawi juu ya tafiti inayotengeneza ramani ya ulimwengu wa blogu wa kiarabu iliyofanywa na kituo cha berkman kwa ajili ya intaneti na jamii.
the presentation that got participants most riled up, however, was one given by syrian attendee razan ghazzawi on the berkman center for internet & society's study mapping the arabic blogosphere.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
baada ya kampeni ya "mimi si mhafidhina" kwa heshima ya mohammad chaar na kampeni ya "mimi si uchi" kumwuunga mkono jackie chamoun mshindi wa olimpiki wa mchezo wa kuteleza kwenye barafu na kisha dhidi ya unyanyasaji wa majumbani, kampeni ya kupinga ubaguzi wa rangi inatumia namna inayofanana (kwa sasa ni ile ile) ya kuonyesha upinzani mtandaoni kwa kuwaonyesha wananchi wakiweka habari na picha zao zenye kubeba ujumbe.
after the "i am not a martyr" campaign in honor of mohammad chaar and the "i am not naked" campaign first in support of olympic skier jackie chamoun and then against domestic violence, the anti-racism campaign is using the same (and now-familiar) method of online protest featuring average citizens posting selfies and carrying a message.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.