From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
shukrani za dhati
sincere thanks
Last Update: 2015-10-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunatanguliza shukrani zetu za dhati
we express our sincere gratitude
Last Update: 2019-01-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
natanguliza shukrani zangu
i look forward to hearing from yuo
Last Update: 2020-03-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
asante sana natanguliza shukrani zangu
thank you very much i express my gratitude
Last Update: 2023-03-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
shukrani za pekee kwa jopo la waokoaji wa kijeshi kwa juhudi walizoweka.
many thanks to the bangladesh army rescue team for their efforts.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tangu wakati huo, jitihada za dhati zimewekwa katika utafiti wa hcov.
since then, tremendous efforts have been dedicated to hcov research.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pia, shukrani zetu za dhati ziiendee mamlaka ya jiji la cebu kwa kuturuhusu kutumia jengo lao tukufu la provincial capitol kwa muda wa siku mbili.
to the province of cebu for letting us have the run of their grand provincial capitol building for two whole days.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rambirambi za dhati, mawazo na sala kwako na kwa familia yako wakati huu wa huzuni
sincere condolences, thoughts and prayers to you and your family at this sad time
Last Update: 2023-09-15
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
shukrani zetu za dhati kabisa ziwaendee wafadhili wetu wa masuala ya habari sunstar publishing, pamoja na wafadhili wetu wa mawasiliano globe telecom na smart communications.
our heartfelt gratitude to our media sponsor sunstar publishing, and our tech sponsors globe telecom and smart communications.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
shukrani za dhati kwa wafadhili wetu wa kimataifa: ford foundation, macarthur foundation, google, open society foundations, knight foundation, yahoo! na automattic.
our international sponsors: ford foundation, macarthur foundation, google, open society foundations, knight foundation, yahoo! and automattic.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
shukrani za dhati kwa wawakilishi, ambao walikuja kutoka katika maeneo ya karibu na ya mbali katika nchi ya ufilipino, na pia wote waliokuja kutoka katika maeneo mengine duniani kwa lengo la kushiriki mkutano huu.
our attendees, who came from near and far within the philippines, and from other parts of the world, to be part of the event.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mtandao wa global voices kwa sasa unapatikana katika zaidi ya lugha 30 tofauti shukrani za pekee kwa wahariri na wafasiri wetu wanaojitolea kwenye mradi wetu wa lingua.
global voices is currently available in more than 30 different languages thanks to the amazing volunteer editors and translators of our lingua project.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pia, tunatoa shukrani za kipekee kwa idara ya utalii ya ufilipino kwa ukaribisho mwanana wa maadhi ya kifilipino na kwa sherehe iliyofana ya kuhitimisha mkutano, iliyofanyika museo sugbo.
to the philippine department of tourism for the warm filipino welcome and the epic closing party at the museo sugbo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rambirambi zangu za dhati kwa wewe, familia, ndugu, jamaa, marafiki na jamii. bwana akufariji na kukupa nguvu wakati huu mgumu wa kujaribu.
my sincere heartfelt condolences to you, the family, relatives , friends and community. may the lord comfort you and give you strength during this hard trying moment.
Last Update: 2022-07-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati maandamano hayo yakiendelea, katika hali ya baridi na mvua, huku familia zikikataa kuzika miili ya ndugu zao, je serikali itachukua juhudi za dhati za kukomesha mauaji haya ya halaiki?
as the sit in continues, amid cold and rain, as families refuse to bury their loved ones, will the authorities finally take action to stop the bloodshed?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
awali ya yote napenda kutanguliza shukran zangu za dhati kwakua miongoni mwa wafanyakazi katika campuni hii yaani chukwani excutive inn.hivyo basi kutoka na sababu zilizopo nje ya uwezo wangu , naomba kuacha kazi kwa ridhaaa ya ngu bila kushawishiwa na mfanyakazi yeyote . aidha kama kutakua na sinto fahamu yeyote katika nafasi
i'm going to give thanks
Last Update: 2024-07-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
gazeti la kila siku la kiingereza nchini iran tehran times, ambalo ni sehemu shirika la habari la mehr linalomilikiwa na shirika la kueneza itikadi ya kiislamu , lilieleza shukrani za sivanka dhanapala, ambaye ni mwakilishi wa unhcr nchini humo, kwa mradi huo:
iran's english daily tehran times, part of the mehr news agency owned by the islamic ideology dissemination organisation, described the "gratitude" of sivanka dhanapala, the unhcr representative in iran, for the program:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mwailishi wa unhcr nchini iran akiushukuru mchango wa serikali ya irani, alionesha shukrani za unhcr kwa serikali ya jamhuri ya kiislam ya irani kwa huduma zote ilizozitoa kwa wakimbizi wanaoishi mijini nchini humo, ambao ni idadi kubwa zaidi duniani, katika kipindi cha miongo mitatu, na kuwaingiza wakimbizi kwenye mpango wa bima ya afya, ambao ni mfano mzuri duniani, na kuongeza kwambahuduma kama hizo hazijatolewa kabla na ninaamini kwa dhati kwamba nchi nyingine zitafuata mfano huu.
unhcr’s representative in iran acknowledged the iranian government’s contribution, expressed unhcr’s gratitude towards the government of the islamic republic of iran for all the services it has rendered to the largest protracted urban refugee population in the world for over three decades, and inclusion of the refugees in this universal insurance scheme which is exemplary not only regionally but also globally, and added that such a services haven’t been provided before and i sincerely hope other countries will follow this example.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
naifikiria familia ya moath kassabah, iliyoweka juhudi za dhati za kutaka kuachiwa huru kwa ndugu yao. #كلنا_معاذ pic.twitter.com/wbykfhc6jc — sheera frenkel (@sheeraf) february 3, 2015
we have reached the bottom of human depravity. rip, muath. #muathalkaseasbeh #jo #كلنا_معاذ — amer sweidan (@amersweidan) february 3, 2015
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: