Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hatua gani zichukuliwe kupunguza hali hii ya kutokuwepo kwa usawa?
what measures can be taken to reduce these inequalities?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa upande wangu, oliver stegen mimi naona hii ni hatua nzuri sana.
on my side, oliver stegen i see this as the right move.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kikubwa zaidi ni jinsi gani intakavyo pokea hayo mabadiliko ya usoni, nini fanye nini kwa wakati na hatua gani nizichukue ili niyapate hayo mabadiliko.
more important is how i will receive that change in the future, what i should do in time and what steps i can take to achieve that change.
Last Update: 2020-09-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuwekwa katika vyumba vyake visivyo na mwanga wala si adhabu, bali ni hatua ya kutoa kinga tu.
to be staying in its dark cells isn't a punishment, but a preventive measure.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
watu hawakushawishika hata hivyo, na kuona kuwa hiyo ilikuwa ni hatua ya kuwapumbaza, wengine wakisema picha hizo zilikuwa zimetengenezwa.
the people were not convinced and called of the bluff, alleging that the pictures were photoshopped.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kundi la raia wa matandaoni kumi na mmoja wasingeweza kuwakilisha ulimwengu mzima wa blogu wa irani, lakini ni hatua ndogo kelekea kuelewa jambo zima.
a group of eleven netizens could never represent the entire iranian blogosphere, but it is a small step to gain insight.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mkutano huo ni hatua ya kuunga mkono matembezi ya kimataifa kwa ajili ya kupigania tembo yaliyoandaliwa na mfuko wa wanyamapori wa david sheldrick chini ya kampeni ya iworry.
the local rally is a solidarity action with the international march for elephants organized by the david sheldrick wildlife trust under the iworry campaign.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uchaguzi au ge13 kama unavyojulikana sasa, ninahisi, itakuwa ni hatua ya kisiasa kwa ajili ya udhihirisho wa umoja wa wa-malaysia duniani kote.
the election or ge13 as it has become known, i suspect, will be a political milestone for the manifestation of malaysian unity all over the world.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kugundua haraka na kutengwa kwa watu ambao wanakisiwa kuwa na maambukizi ni hatua muhimu katika kulinda wafanyakazi, wateja, wageni, na wengine katika sehemu ya kazi.
prompt identification and isolation of potentially infectious individuals is a critical step in protecting workers, customers, visitors, and others at a worksite.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati wengi wanadhani kuwa hatua hii ya wanaume kusimama kidete kupambana na ubakaji ni hatua kubwa, wengine wanahoji ufanisi wa majadiliano ya kwenye mtandao wa twita ukilinganisha na matukio halisi ya nje ya mtandao.
while many feel that this trend is a step forward as men stand up against violence, others have questioned the effectiveness of a twitter trend on real life circumstances.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kadri miezi ilivyopita, wasiwasi nao umeongezeka zaidi kiasi kwamba wanawake wengi wameungana kwenye tovuti za kijamii ili kuweka maoni yao waziwazi. wanafanya hivyo ili kubadilishana taarifa pamoja na kupanga hatua gani za kisheria wachukue.
as the months passed, the concern has been growing, so much so that many woman have come together on social media websites to air their opinions and share information as well as to organize legal action.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii ni hatua kubwa muhimu katika historia ya utafutaji haki kimataifa, kwa wahanga walio nchini kongo (drc) na kwa mpango wa matumizi ya picha za video kwa ajili ya kuleta mabadiliko.
this is a major milestone for international justice, for victims in the democratic republic of congo (drc) and for video for change.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kamati ya kimataifa ya shirika la msalaba mwekundu, katika tamko lililoweka kama mahojiano na mmoja wa maofisa wake wa matunzo ya mtoto, ilisema kwamba inaamini kwamba jitihada za kuwaunganisha watoto na familia zao nchini haiti ni lazima zipewe kipaumbele, na kuasili watoto iwe ni hatua ya mwisho kabisa.
the international committee of the red cross, in a statement presented as an interview with one of its child protection officers, said it believed efforts to connect children with family members in haiti should receive priority, and adoption a last resort.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@ogbeniben: kwa wale wanaokosoa shirika la ndege la #dominionair “ ♏v̶̲̥̅ watu (wangu) wanapotea kwa kukosa maarifa” ni hatua nzuri kwetu wanafamilia wa (kanisa la)winners
@ogbeniben: for those criticising #dominionair "(my) ♏v̶̲̥̅ people perish bcos they lack wisdom" its a̶̲̥̅ go̲̣̥o̲̣̥d move for we at winners family.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.