Ask Google

Results for nia ya uwekezaji translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Mmlikuwa na ujasiri, na nia ya kumchagua mtu wa mabadiliko.

English

You had the strength, the will to elect this man of change.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“kwa nia ya kutawanya neno..,” anaandika Idil Osman:

English

"in the spirit of spreading the word..," writes Idil Osman:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Anonymous ina nia ya kuwasaidia watu wa Tunisia katika vita hii dhidi

English

Anonymous is willing to help the Tunisian people in this fight against

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Siyo zote ambazo zitategemea nia ya serikali ya Irani ya kuanzisha mazungumzo na Marekani.

English

Not all of those have to do with the Iranian government’s willingness to start dialogue with the US.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Waandaalizi wana nia ya kukomesha sheria inayokinga ubakaji ndani ya ndoa nchini Singapore.

English

The organizers aim to abolish the marital rape immunity law in Singapore.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

-Nia ya #BDSP si kuwaiba wasomaji wa wavuti ya The Daily Star.

English

-The aim of #BDSP is not to steal away viewers from The Daily Star's website.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Redio Zamaneh haina nia ya kutangaza mabloga kulingana na mitazamo yao ya kisiasa.

English

Radio Zamaneh does not promote bloggers based on their political views.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nadharia hii ya Pritchett na Magric bila ya shaka ina upande tata ambao una nia ya kuchokoza mdahalo.

English

This theory of Pritchett and Magric certainly has a contentious side that aims to provoke a debate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Makaguzi wanakagua kwa makini pakiti hizo, ili wapate hakikisho kuwa kuna nia ya kudanganya mteja.'

English

Inspectors scrutinize the packages, because they need to be certain that an intention exists to deceive the consumer.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Pia anaeleza kuwa ilani hiyo ina nia ya kulinda hali (ya uongozi) kama ilivyo:

English

She also described the manifesto as a defense of the status quo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Majaribio haya mara nyingi hufanyika kwa lugha inaonesha kuwa nia ya watawala hawa kuendelea kubaki madarakani ni kuitikia mwito wa wananchi.

English

These quests are often couched in language that portrays a leader’s desire for more time in office as a response to popular demands.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Wakati Madagaska ikijaribu kutafuta suluhisho la matatizo ya muda mrefu ya kiasa, Wanablogu wa ki-Malagasi wanajadili thamani ya Uwekezaji unaofanywa Moja kwa Moja na raia wa Kigeni.

English

While Madagascar attempts to find a way out of a prolonged political crisis, Malagasy bloggers are discussing the value of foreign direct investment (FDI).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kuongoza njia kwa kutangaza nia ya Ndoa Takatifu, na kuongeza tunatumaini kuwa nitapata kadi na kuwaonyesha marafiki zangu wengi picha za tukio hilo

English

leading the way by announcing their intentions for Holy Matrimony, adding hopefully we will find a card for the event and share with many of my freinds here the pictures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kutokana na mahitaji ya umma, sisi tulichukua mpango wa kuandaa mwongozo wa kusaidia wakulima wenye nia ya kuanzisha kilimo cha uyoga nchini Kenya

English

Due to public demand, we took the initiative of compiling a guide to help farmers interested in starting mushroom farming in kenya

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Uzoefu wake katika nchi za Marekani ya Latini katika kupambana na uhalifu wa aina hii uantafutwa na vikundi ambavyo vina nia ya kuukwepa uhalifu huu wa jinai.

English

His experience throughout Latin America dealing with this crime is sought after for groups wanting to learn how to avoid this crime.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Shirika hilo la kimataifa linawaomba watumiaji wachangie kwa kutuma maoni kwenye mradi huo ambao unawatia mashaka wanablogu wengi wenye nia ya kuhifadhi tamaduni.

English

The international organization asks users to contribute comments to a project that has many bloggers worried about preserving cultures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Pingamizi linaloendela la kutoruhusu mashirika ya misaada ya kibinaadamu kuingia halisaidii kupunguza mashaka juu ya nia ya serikali kwa wakimbizi na makada wa LTTE ambao wamesalimu amri.

English

The continued refusal of full access to humanitarian agencies does not allay suspicions about the government's intentions toward the refugees and the LTTE cadres who have surrendered.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Muwe na nia ya kuishi maisha ya utulivu, kila mmoja ashughulikie mambo yake mwenyewe na afanye kazi kwa mikono yake mwenyewe kama tulivyowaagiza pale awali.

English

And that ye study to be quiet, and to do your own business, and to work with your own hands, as we commanded you;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ndivyo basi, ninavyopiga mbio nikiwa na nia ya kushinda; ndivyo ninavyopigana, na si kama bondia anayetupa ngumi zake hewani.

English

I therefore so run, not as uncertainly; so fight I, not as one that beateth the air:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Lalamiko kuu la India lilizungukia katika uamuzi wa serikali ya Rudd kukataa kuiuzia india madini ya Uranium, uamuzi ambao uliipindua nia ya John Howard pamoja na mawaziri wake.

English

India's prime gripe turned on the refusal of the Rudd Government's to sell uranium to India, which overturned the intention of John Howard and his senior ministers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK