From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nimesikia maneno yako
i've heard your words
Last Update: 2023-12-31
Usage Frequency: 1
Quality:
leo nimesikia raha na nimezidi kukupenda sanaaaa
it's very happy
Last Update: 2024-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:
nimesikia simulizi za kutisha za wanawake wakifungwa kwa mnyororo kwenye kitanda cha uzazi.
i have heard horror stories of women being chained to the delivery bed.
Last Update: 2023-07-14
Usage Frequency: 1
Quality:
nimesikia taarifa za mabomu yanayolipuka katika mji mkongwe wa kairo karibu na khan al-khalili, sehemu maarufu kwa watalii.
am hearing reports of a bomb going off in the medieval part of cairo near khan al-khalili, a major tourist destination.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nimesikia kesi nyingi ambazo kazi za marafiki zangu (maandiko ya blogu, picha na mawazo) yameibwa na waandishi habari wavivu.
i heard about many many cases in which my friends content ( blog entries , pictures and ideas ) have been stolen by some lazy journalists.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini anania akajibu, "bwana, nimesikia habari za mtu huyu kutoka kwa watu wengi; nimesikia juu ya mabaya aliyowatendea watu wako huko yerusalemu.
then ananias answered, lord, i have heard by many of this man, how much evil he hath done to thy saints at jerusalem:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting