Results for nipo hapa kwa likizo translation from Swahili to English

Swahili

Translate

nipo hapa kwa likizo

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

niko hapa kwa ajili yako

English

i'm here for you my love

Last Update: 2023-01-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

utaishi hapa kwa muda gani?

English

how long will u live here

Last Update: 2022-08-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

- la mtumba, mie nipo hapa kwa kipindi kifupi tu.

English

- used, i’m only here for a short period of time.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

fatwa yenyewe inapatikana hapa kwa kiarabu.

English

arabic version is here.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

asante kwa moyo wangu wote nimefurahi kuwa hapa kwa ajili yako

English

thank you from the bottom of my heart i'm glad i could be here for you

Last Update: 2025-01-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hatuna hata kirusi kimoja hapa kwa nini sasa iwe gambia?

English

we don't have single virus their so why gambia ?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni karibu ya mwaka na nusu tangu nilipokuwa hapa kwa mara mwisho.

English

it’s been almost a year and a half since i was last here.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mliondoka zambia kuja kufanya kazi hapa kwa sababu tu ya kwacha moja ya ziada?

English

you left zambia to come and work here for an extra k1?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na polisi wanapokuwa kazini, tutabaki hapa, kwa tahadhari ya lolote linaloweza kutokea.

English

and when the police be to the task, we shall remain here, just in case.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

badala yake, wafikishe ujumbe wa kweli kutoka hapa kwa watu wao, mashirika au serikali…

English

rather, they should convey a real message from the ground to their peoples, organizations or governments...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama sundari alivyosema, “tupo hapa kwa ajili ya jambo moja tu- tupo hapa kwa ajili ya ulimwengu.

English

as sundari said, “we are here for a common cause- we are here for the world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ahsante kwa kuiacha hapa kwa sababu ni lazima tuache kujidanganya kuwa kila kitu kipo sawa… muda umefika kwa mambo haya kukomeshwa…

English

thanks for leaving it up because we have to stop pretending everything is alright...it is time for these things to stop....

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@omarc: tayari imeshatimu saa 2 bado nipo hapa @ dawati la uhamiaji bahrain ili niruhusiwe kuingia nchini.

English

@omarc: hit the 2hr mark waiting @ bahrain immigration to enter the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

unapaswa kufahamu kuwa, sikuandika makala hizo za habari zilizotajwa hapo juu, mimi sio miongoni mwa kundi linalojadili katiba mpya na sipo hapa kwa nia ya kuhalalisha ikiwa katiba mpya ni nzuri, mbaya au ni mbovu.

English

you have to know that i did not write those news articles mentioned above, iam not part of the group that put together of the new constitution and i am not here to justify whether the new constitution is good, bad or ugly.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

makala hii pamoja na ripoti ya radio vimeandaliwa na susannah roberson kwa ajili ya the world na kwa mara ya kwanza iliwekwa pri.org mnamo tarehe 26 juni, 2015, na inachapishwa tena hapa kwa makubalino ya ubia wa kubadilishana maudhui.

English

this article and radio report by susannah roberson for the world originally appeared on pri.org on june 26, 2015, and is republished here as part of a content-sharing agreement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwanablogu mwingine, my oblivia, alikuwa na mtazamo tofauti hapa: kwa hiyo, je kuna mtu atakayeweza kujisumbua tafadhali kueleza ni namna gani shindano moja la kizembe linatufanya kuishangilia nchi hiyo hiyo ambako haya yaafanyika...

English

another blogger, my oblivia, had a different point of view here: therefore, will someone please bother explaining how can one lousy tournament make us cheer for the same country where this happens…

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hii inamaanisha kwamba mpla imepata wabunge 191 kati ya 220 waliochaguliwa, wakati unita watakuwa na 16, prs 8 na nd pamoja na fnla watakuwa na viti 2. (bofya hapa kwa ajili ya orodha nzima ya wale waliochaguliwa, kimikoa).

English

this means that the mpla makes 191 of the 220 elected members of parliament, while unita will have 16, prs 8 and the nd and fnla both will have 2 seats (click here for a full list of those elected, by region).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,874,410,132 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK