From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa wizara ya elimu kwa kiswahili
ministry of ict
Last Update: 2025-02-12
Usage Frequency: 1
Quality:
wizara ya elimu, sayansi na teknolojia
swahili
Last Update: 2021-06-15
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mtu mmoja kutoka katika shirika la kimataifa aliniambia kuwa camara anaweza kuwa alijeruhiwa kichwani au shingoni.
someone from an international organization told me captain camara might be wounded in the head or neck.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
abdullah al-hamed na wafanyakazi wenzake katika shirika la acpra wanatumia siku ya maadhimisho ya uhuru wa saudia wakiwa gerezani.
abdullah al-hamed and his fellows in acpra are spending the saudi national day in prisons.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
akizungumza na shirika la habari a afp alisema kwamba nchi haiwezi kuendelea endapo tu ni asilimia 2 ya bajeti za nchi inatumika kwa ajili ya elimu.
speaking to afp he said that a country can not prosper if only 2% of the economic budget is spent on education.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
agizo lilitiwa sahihi na wizara ya elimu kama hatua ya kuzuia lililenga kuzuia kuenea kwa magonjwa ya pumu kuhusiana na janga kubwa la virusi vya korona la who.
an order signed by the ministry of education as a preventative measure aims to prevent the spread of respiratory diseases in connection with the who coronavirus pandemic.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
shreya misra, anayefanya kazi katika shirika la teach for india, anatuma picha kwenye ukurasa wa facebook wa helpage india, inayomwonyesha akimkumbatia babu yake.
shreya misra, a fellow at teach for india, shared a photo on helpage india's facebook page, which shows her hugging her grandfather.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mnamo januari 14, 2011, maelfu ya waandamanaji walikusanyika nje ya jengo la wizara ya mambo ya ndani lililoko katika mji mkuu wa tunis.
on january 14, 2011, thousands of protesters gathered outside the building of the interior ministry in the capital tunis.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika shirika la utafiti la taifa nchini ufaransa (cnrs) kwa mfano, pamoja na kuwa na nguvu kazi imara, ruzuku kutoka serikalini iliongezeka kwa euro 293 bilioni kati ya mwaka 2006 na 2011.
at the french national centre for scientific research (cnrs), with a stable employee workforce, public subsidy increased by 293 billion euros between 2006 and 2011.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
akitoa maoni yake kuhusu mabadiliko ya lugha, atetaulwa ngatara, naibu mkurugenzi wa sera katika wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, alisema kiingereza kitaendelea kufundishwa kama lugha, na kwamba wanafunzi kujifunza kiingereza haitamaanisha kuwa ni lazima masomo yote yafundishwe kwa lugha hiyo.
commenting on the language shift, atetaulwa ngatara, the assistant director for policy at the ministry of education and vocational training, said english will still be taught as a language, but for students to learn english it's not necessary that all their subjects be taught in it.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mkurugenzi wa kamati ya helsinki nchini macedonia , shirika la haki za binadamu, uranija pirovska alisema kwamba alikusudia kufungua malalamiko dhidi ya wizara ya mambo ya ndani kwa kutumia kipande cha video kilichochukuliwa kwenye tukio hilo, na kwa kutumia ushahidi wa watu waliokuwepo eneo hilo.
the director of the macedonian helsinki committee, a human rights organization, uranija pirovska stated that she intended to file a complaint with the ministry of interior based on a video clip that documented the event, along with eyewitness testimonies.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"programu ya kimsingi ya huduma ya afya" iliyotekelezwa na wizara ya elimu huko ufilipino ni mfano wa hatua ya hali ya juu kukuza afya na elimu ya watoto.
the "essential health care program" implemented by the department of education in the philippines is an example of at scale action to promote children's health and education.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mpango huu ni ushirikiano kati ya wizara ya mambo ya ndani, inayoshughulika na masuala ya wahamiaji, shirika la bima ya afya la irani na shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi (unhcr).
this is a collaboration between the ministry of interior, responsible for immigrant affairs, the iranian health insurance organization and the united nations high commissioner for refugees (unhcr).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mradi ambao wengi wanauamini, wakiupima kwa kuzingatia wafadhili wake: kutoka al jazeera, hadi wizara ya mambo ya nje ya uholanzi, hadi shirika la kimataifa la uhamiaji pamoja na mfuko wa umoja wa ulaya wa urudishaji wa wahamiaji makwao.
a project that many believe in, judging by the sponsors: from al jazeera, to the ministry of foreign affairs of the netherlands, to the international organisation for migration and the european union fund for repatriation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuyataja kwa uchache ni pamoja na shirikisho la wanafunzi la chile (confech), mkutano wa taifa wa wanafunzi wa sekondari (aces), mratibu wa taifa wa wanafunzi wa sekondari (cones), vuguvugu la wanafunzi wa elimu ya juu (mesup), muungano wa mashirikisho ya sekta binfafsi ya elimu ya juu (ofesup) na chama cha maafisa wa wizara ya elimu (andime).
among them were student confederation of chile (confech), national high school students assembly (aces), national high school students coordinator (cones), movement of higher education students (mesup), organization of private higher education federations (ofesup) and association of ministry of education officers (andime).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: