Results for nitakavyo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi.

English

i do not know what will be done to me or to you.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sema: hainifalii mimi kuibadilisha kwa nitakavyo nafsi yangu.

English

(muhammad), tell them, "i can not change it myself.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

sema: mimi si kiroja miongoni mwa mitume. wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi.

English

say (o muhammad saw):"i am not a new thing among the messengers (of allah) (i.e. i am not the first messenger) nor do i know what will be done with me or with you.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

English

say thou: i am not an innovator among the apostles, nor i know whatsoever shall be done with me or with you; i only follow that which is revealed unto me, and am but a warner manifest.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akasema, "baba yangu, kwako mambo yote yanawezekana. uniondolee kikombe hiki; lakini isiwe kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe."

English

and he said, abba, father, all things are possible unto thee; take away this cup from me: nevertheless not what i will, but what thou wilt.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na wanapo somewa aya zetu zilizo wazi, wale wasio taraji kukutana na sisi husema: lete qur'ani isiyo kuwa hii, au ibadilishe. sema: hainifalii mimi kuibadilisha kwa nitakavyo nafsi yangu.

English

and when our clear communications are recited to them, those who hope not for our meeting say: bring a quran other than this or change it.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,877,668,837 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK