From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ndivyo yanavyofanya mashirika kama who na mashirika mengine ya afya.
so do who and the other major health agencies.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pia wana utaratibu mzuri wa kubadikili tarehe kuliko mashirika mengine ya ndege.
they’re also much better with changing dates than most other airline companies.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
67% hawakuripoti tukio kubwa zaidi la udhalilishaji waliofanyiwa na wapenzi wao kwa polisi au mashirika mengine.
67% did not report the most serious incident of partner violence to the police or other organizations.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mashirika mengine kama vile search for common ground nalo litashiriki katika miradi kama hii ili kuboresha hali za wanajamii walio katika maeneo hatarishi.
other organisations, such as search for common ground, will collaborate with these initiatives to strengthen the communities in vulnerable areas.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
global voices inaungana na mashirika mengine zaidi ya 60 yanayojihusisha na uhuru wa habari kuiunga mkono kampeni ya kamati ya kuwalinda waandishi kwa haki ya kutangaza katika zama za kidigitali , ikiulenga utawala wa obama.
global voices is joining more than 60 other media and press freedom organizations in supporting the committee to protect journalists’ campaign for the right to report in the digital age, targeting the obama administration.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kituo cha hifadhi ya tembo kinajitofautisha na mashirika mengine ya utalii wa tembo kwa kuwatunza tembo kwa kuwajengea mazingira mazuri ya kuzaliana, uangalizi makini na wa karibu, matibabu na uchunguzi wa magonjwa mbalimbali.
elephant conservation center differentiates itself from elephant tourist camps by being a haven for elephant reproduction, lactation, convalescence and disease diagnosis.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mashirika mengine ya habari yaliyoripoti maandamano hayo ni cnn, the star shirika la habari la ki-malaysia, new york times, yahoo news, abc news, na chicago tribune.
other news outlets to cover the protests include cnn, the malaysian news outlet the star, the new york times, yahoo news, abc news, and the chicago tribune.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
myo set aliishauri shirika la ushirikiano wa kiislam (oic) kuwasiliana moja kwa moja na mashirika mengine ya umoja wa mataifa na mashirika mengine ya binafsi kama wameona kuwa kupitia serikalini sio njia muafaka:
myo set advised the oic to communicate directly with other un bodies and ngos if they found the government machinery unreliable:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
malengo ya mwitikio kwa mkurupuko hujumuisha kupunguza usambazaji kati ya wafanyakazi, kulinda watu ambao wako hatarini zaidi kwa matatizo sugu ya kimatibabu, kudumisha operesheni za biashara, na kupunguza athari mbaya kwa mashirika mengine na wanaohusika katika kusafirisha bidhaa.
objectives for response to an outbreak include reducing transmission among staff, protecting people who are at higher risk for adverse health complications, maintaining business operations, and minimizing adverse effects on other entities in their supply chains.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kufuatia dayosisi ya katoliki ya roma kufunga makanisa yao na makanisa madogo na basilika la mt. petro kutokuwa na mapilgrimu wakristo, mashirika mengine za kidini pia zilifuta ibada yao na kudhibiti mkusanyiko katika makanisa, misikiti, sinagogi, hekalu na gurdwaras.
with the roman catholic diocese of rome closing its churches and chapels and st. peter's square emptied of christian pilgrims, other religious bodies also cancelled services and limited public gatherings in churches, mosques, synagogues, temples and gurdwaras.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
gazeti la the hindu nchini india linasema, mpigania uhuru kwa wafuasi wake na gaidi wa kuogopwa kwa wengine, prabhakaran alikuwa anatafutwa na chombo cha polisi cha kimataifa, interpol, pamoja na mashirika mengine mengi tangu mwaka 1990 kwa makosa ya ugaidi, mauaji na jinai. “kabla dunia haijamsikia osama bin laden au al-qaeda, prabhakaran alianza kutumia mbinu mpya ya vita, mabomu ya kujilipua kwa kujitoa muhanga.
the hindu in india says, "a 'freedom fighter' for his supporters and a dreaded terrorist for others, prabhakaran was wanted by interpol and many other organisations since 1990 for terrorism, murder and organised crime." long before the world was aware of osama bin laden or al-qaeda, prabhakaran started to use a new method of guerrilla warfare, suicide bombing.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.