Results for nyuklia translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

nyuklia

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

india: mgogoro wa mtambo wa nyuklia wa kudankulam waendelea.

English

india: conflict over kudankulam nuclear power plant continues · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nishati hiyo inaongeza uwezo wa kuwekeza kwenye nishati nyuklia, jua na upepo.

English

increasing investment in nuclear, solar and wind power.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanafunzi wanapinga "chama cha nyuklia", nyimbo zao zilimtoa saeed jalili

English

students crash "nuclear party" & their songs & slogans drown out saeed jalili & basiji students via @shimazadi #iran http://t.co/mhg47qpagp — hanif z. kashani (@hanifzk) april 16, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

waanadamanaji wanasema kuwa wanahofia mionzi na uwezekano wa uchafuzi utakaosababishwa na mtambo huo wa nyuklia.

English

the protesters say they're worried about radiation and possible nuclear pollution.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bbc wanatangaza mdahalo, cnn haina habari na mambo mengine ziadi ya mpango wa nyuklia wa iran.

English

bbc is broadcasting a debate, cnn is fixated on the iran nuclear deal.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jalili alikuja kwa ajili ya maaadhimisho ya siku ya nyuklia lakini nyimbo za vibwagizo vya watu wanaomwuunga mkono mousavi ndio zimetawala

English

jalili came for the nuclear day event but pro-mousavi slogans are the dominating slogans.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo mwanzo aliwahi kusema kuwa nyaraka zilizoonyesha msimamo wa umoja wa mataifa dhidi ya mpango wa nyuklia wa irani kama makaratasi yasiyo na maana.

English

previously he has also called united nations resolutions against an iranian nuclear program just useless torn papers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

serikali inachokifanya ni kujaribu kuwaogopesha watu pamoja na kujaribu kuua sauti za mshikamano wa watu wanaowaunga mkono watu wanaopinga uwepo wa mtambo wa nyuklia wa koodankulam.

English

the government is simply trying to intimidate and throttle all voices of solidarity and support to the people fighting against koodankulam nuclear plant.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waandamanaji nchini kote wanatuma saini zao huko kudankulam, india, kama namna ya kuonesha mshikamano katika mkakati wa kutokubaliana na matumizi ya nguvu ya nyuklia.

English

protesters across the nation send in their signatures to kudankulam, india, in solidarity with the anti nuclear campaign.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa gazeti la the new york times, serikali ya jiangmen tayari imeshaweka mkataba na shirika la taifa la nyuklia la china katika kufadhili mradi huu kwa kiasi cha dola bilioni sita za kimarekani.

English

according to the new york times, jiangmen authorities have already signed an agreement with the china national nuclear corporation to house the six billion us dollar project.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

badala ya serikali kusikiliza matakwa yao na kuzingatia suala la kutokuwa na hali nzuri ya ulinzi pamoja na madhara ya uharibifu wa mazingira unaotokana na mitambo hii ya nyuklia. serikali imewajibu waandamanaji kwa kutumia njia ya ukandamizaji wa kikatili kabisa.

English

the government instead of responding to their just demands and concerns for the immense security risk and the environmental hazard that this plant can cause on the surrounding area, has responded with the most cruel repression on the protesting masses.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye alibadili mbinu na kuandika habari zinazosifu sera za rais mahmoud ahmedinejad hususan kwa msimamo wake dhidi ya serikali ya marekani, silaha za nyuklia, israeli, na hata kutovumilia upinzani wa umma unaofanywa na wanaharakati wa haki za binadamu.

English

later he changed tacks and wrote favorably of president mahmoud ahmedinajhad's policies regarding the united states, nuclear weapons, israel, and even intolerance for public dissent from human rights activists.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muda mfupi baada ya waandamanaji kuvamia bunge la taiwani wakipinga makubaliano yenye utata kati ya nchi hiyo na china, mji mkuu wa visiwa hivyo taipei vilifurika waandamanaji kuanzia aprili 26 mpaka 30, mara hii wakipinga kiwanda cha nne cha uzalishaji wa nguvu za nyuklia kinachoendelea kujengwa ingawa inahofiwa kuwa kinaweza kusababisha madhara.

English

not long after protesters took over taiwan's legislature over a controversial trade deal with china, the island's capital city taipei was rocked by more protesters from april 26 to april 30, this time against a fourth nuclear power plant currently under security check that they fear is a danger.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kikundi cha wanafunzi wa chuo kikuu cha amirkabir kilichopo tehran nchini iran, kiliimba kauli mbiu za kuunga mkono upinzani, huku wakibeba mabango na kupeperusha bendera ya iran wakati wa hotuba ya mgombea aliyeshindwa mhafidhina ambaye alikuwa mpatanishi mkuu wa nguvu za nyuklia saeed jalili mnamo aprili 14, 2014.

English

a group of students at iran's amirkabir university in tehran chanted pro-opposition slogans, held placards and waved the iranian flag during a speech by failed conservative presidential candidate and former top nuclear negotiator saeed jalili on 14 april 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katibu mkuu wa kampeni ya upunguzaji wa sila za vita za nyuklia kate hudson alilaumu shughuli ya utetezi 2020: "katika hali ya hatari ya sasa ya afya ya umma, inahatarisha si maisha ya jeshi pekee kutoka marekani na nchi za ulaya kadhaa zinazohusika bali pia wakzai wa nchi wanakofanya operesheni."serikali ya irani imeathirika sana na virusi, na takriban wabunge ishirini na nne wameambukizwa pamoja na wanasiasa kuni na tano wa sasa au wa kitambo.

English

the campaign for nuclear disarmament's general secretary kate hudson criticized the defender 2020 exercise: "in the current public-health crisis, it jeopardizes the lives not only of the troops from the us and the many european countries participating but the inhabitants of the countries in which they are operating."the iranian government has been heavily affected by the virus, with around two dozen parliament members infected as well as fifteen other current or former political figures.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,770,827,489 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK