Results for ongea na ushiriki tafsiri mkondoni translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

ongea na ushiriki tafsiri mkondoni

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

una ongea na nani

English

yes, i have a problem please take me to kampla. please i need help.

Last Update: 2018-03-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

aliendela kuwa rafiki mwaminifu na mzuri wa aung san suu kyi ingawa alikosoa baadhi ya maamuzi yake ya kisiasa ikiwa ni pamoja na ushiriki wa nld katika uchaguzi.

English

he remained a loyal and good friend of aung san suu kyi although he was critical of some of her political decisions including the participation of the nld in the elections.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nyakati ngumu zinanukia, na kadri nchi inavyozidi kuwa chini ya jeshi, bila kuwa na ushiriki wa raia kwenye utawala na uwajibikaji, upinzani hautakoma.

English

troubled times are brewing, and as long as the country is under martial law, without public participation in governance and accountability, the purge of political opponents will continue.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vyote, sudani inapiga kura na ufuatiliaji wa uchaguzi sudani zinaonekana kuwa na ushiriki wa maana wa wasudani katika ngazi za chini, ambao unaweza kuwasaidia pale ambapo programu ya benki ya dunia imeshindwa.

English

both sudan votes and sudan vote monitor appear to have substantial sudanese involvement at the ground level, which may help them succeed where the world bank program has failed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

misitu imekuwa ikihifadhiwa kwa ajili ya vizazi, shukrani kwa juhudi za watu walioishi kwa amani na ulimwengu uwazungukao, hali iliyochangiwa na maarifa ya mababu zao ya umilikaji wa rasilimali pamoja na ushiriki hai wa kila jamii.

English

the forest has been preserved for generations, thanks to the work of people who have lived in harmony with the world around them, by means of ancestral knowledge of resource management and active participation of each community.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huku kukiwa na uchaguzi nchini urusi, video za mtandaoni zilithibitisha kuwa ni nyenzo muhimu sana katika kuweka kumbukumbu za ukiukwaji taratibu za uchaguzi kama kufutika kwa wino unaomzuia mpiga kura kurudia zoezi hilo isivyo halali, rushwa kwa wapiga kura na ushiriki mkubwa wa wapiga kura na maandamano ya baada ya uchaguzi.

English

with the elections in russia, online video has proven a useful tool in documenting electoral violations such as disappearing ink pens, paid voters and inflated turnouts as well as the later post electoral protests.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ili kuonyesha vielelezo katika ripoti hiyo na ushiriki wa mfanyabiashara mmoja, sakhr el matri, ambaye pia ni mkwe wa rais, akishiriki katika mchakato huo, le temps lilichapisha picha ikimwonyesha sakhr el matri akikagua shehena ya msaada kabla haujapakiwa kwenye ndege:

English

to illustrate the report and the involvement of businessman and the president son-in-law sakhr el matri in the initiative, le temps published a photo showing sakhr el matri inspecting the materials before they were loaded into the aircraft:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

matukio haya yaliandaliwa na wanahabari daniela silva na pedro markun , ni matukio yenye kiingilio bure na yanatoa fursa kwa watengeneza programu za kompyuta, wanahabari na watafiti kukutana pamoja na kutafuta njia za “kukomba’ taarifa kutoka kwenye tovuti rasmi za ofisi na kutengeneza applications ambazo zitaweza kuleta uwazi na ushiriki kwenye mchakato wa siasa.

English

organized by journalists daniela silva and pedro markun , the event has free entry and is an opportunity for software developers, journalists and researchers to gather together to find ways to “scrape” data from official websites and create applications that bring transparency and participation to the political processes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,782,859,656 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK