Results for pand zipi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kazi za data officer ni zipi?

English

responsibility of data officer

Last Update: 2023-08-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

homa ya papasi dalili ni zipi?

English

dalili za homa ya papasi

Last Update: 2020-01-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

unaweza kusikiliza na kutuambia unapenda zipi.

English

have a listen and tell us which you like.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

faida za nhif kwa wanachama wake ni zipi?

English

what are the benefits of nhif to its members?

Last Update: 2022-03-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

je ni changamoto zipi zenye umuhimu zaidi?

English

what are the most important challenges?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na niambie, ni dalili zipi ulizo nazo sasa?

English

and tell me what symptoms are you having now?

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

je athari zake kwa matendo ya afya ya umma ni zipi?

English

what are the implications for public health practice?

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

1-je ni tovuti zipi ulizozitembelea zaidi tangu uchaguzi?

English

1-which are the sites you visit frequently since the presidential election?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na unaweza kuniambia ni dalili zipi zingine ulizo nazo pamoja na hizi?

English

and can you tell me what other symptoms are you having along with this?

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

makala zipi zichapishwe na zipi zisichapishwe, inapaswa kuwa kwa maelekezo ya jukwaa la blogu na si mamlaka za udhibiti.

English

which posts should be published or not should be at the discretion of the blog platform, not the regulatory authorities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

suala la kujiuliza ni kama wakati wanaunda mfumo wao marekani waliiga wapi au walifuata kanuni zipi, na sweden au scandinavia waliiga wapi pia

English

the question to ask is whether when they were forming their system where did u.s. copied or what principles they followed, and sweden or scandinavia where did they copy also.

Last Update: 2013-04-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

2-je, kwa mtazamo wako ni tovuti zipi ambazo wanasiasa na wanaharakati wakijamii huzitumia zaidi?

English

2-in your opinion which sites do political and civil society activists use?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

gumzo la ijumaa litalenga masuala kama vile uanzishwaji makundi maalum ya kazi au vitengo kwa ajili ya mchakato wa kutengeneza muongozo wa kublogu vyema kadhalika gumzo hilo litajadili kuhusu aya na na mada zipi zijumuishwe kwenye muongozo.

English

friday's chat will focus on issues such as forming working groups for the blogging positively guide and discussing what chapters and topics to include in it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika indonesia wanawake wanaangaliwa mafanikio yao si kwa yale waliyoyafanya, bali kutokana na waume zao, ni watoto wangapi wanaweza kuzaa na watoto wao wana siha kiasi gani, na watoto wanasoma shule zipi.

English

in indonesia, women are considered successful not from what they have achieved, but from their husbands, how many kids they can deliver and how fat their kids are and where their kids go to school.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,914,141,587 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK