From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
paris manga
foal
Last Update: 2021-01-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuanzia paris mpaka douala
from paris to douala
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nilikuwa paris siku chache tu zilizopita.
i was just in paris a few days ago.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
huu ni mkutano wa pili kufuatia ule uliofanyika paris mwaka 2013.
this is the second installment of the forum following the initial one in paris in 2013.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
drc kongo: misuguano kati ya kinshasa na paris mkutano unapoanza
dr of congo: tension between kinshasa and paris as summit commences · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
laura alihamia paris miaka saba iliyopita akitokea venezueelza kama mwanafunzi.
laura moved to paris seven years ago from venezuela as a student.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maandamano ya wanaomwunga mkono gbagbo jijini paris, machi 26, 2011.
pro-gbagbo protests in paris, france, march 26, 2011.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@ariannahuff kila uhai wa mwanadamu una thamani, iwe ni paris au garissa!
@oprah @ariannahuff every human life is sacred, whether in #paris or #garrisa! #147notjustanumber #garrisaattack pic.twitter.com/it1ognpalw — borderless citizen (@borderlessciti) april 5, 2015
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sinha ni nguzo inayotengemeza bendi yenye makazi yake jijini new delhi na paris iitwayo tritha electric.
sinha is the driving force behind the new delhi- and paris-based band tritha electric.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ngoja tusubiri tuone marais wangapi wa afrika waliokimbilia kwenda paris kuandamana kuonesha mshikamano watakwenda kenya kulaani shambulio la garissa
let's see how many of the african presidents who rushed to paris for #charliehebdo march will head to #kenya to protest #garrisaattack — idriss ali nassah (@mynassah) april 2, 2015
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati huo huo, mwandishi wa habari richard hall, anayeishi paris, anawakumbusha wafuasi wake 6,000:
last time israel invaded gaza 1,387 palestinians were killed.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alipata elimu yake katika miji ya caracas na maracaibo, lakini ilikuwa ni huko paris ambako kazi yake ilipata mwelekeo wenye nguvu zaidi.
he received his education in the cities of caracas and maracaibo, but it was in paris where his career took a powerful turn.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alifariki dunia mjini paris mnamo tarehe 11 novemba, 2004 na makala hayo yaliashiria kwamba hakufariki kwa njia ya kawaida ila aliwekewa sumu ya poloni.
he died in paris on 11 november, 2004 and the documentary alleges that rather than dying of natural causes, arafat was poisoned with polonium.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mchonga sanamu msenegali, ousmane sow, alikaribishwa kwenye académie des beaux-arts de paris tarehe 11, mwezi wa disemba.
senegalese sculptor ousmane sow was admitted on december 11 into l'académie des beaux-arts de paris .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tangu nimefika paris, nimefutilia mijadala mingi sana kuhusiana na masuala ya asili ya mtu, rangi ya ngozi, historia ya mtu na imani za kidini.
since i arrived in paris i’ve followed the endless discussions on origins, skin colours, backgrounds and religious faiths.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
makala iliyoandikwa na mwanachama wa familia ya global voices mwenye asili ya lebanoni joey ayoub masaa machache baada ya shambulio la paris inatukumbusha jambo hili, na sababu ya sisi wa global voices kufafanya kile tunachokifanya.
an article written by our lebanese community member joey ayoub hours after the paris attacks reminds us of this, and of why we at global voices do the work we do.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika makala ya mitaa ya paris inavyonikumbusha mitaa ya beirut, joey anaandika kwa ustadi kuhusu "kushindwa kwa sisi binadamu kujitazama kwa sura ya usawa."
in the streets of paris are as familiar to me as the streets of beirut, joey writes movingly about "the general failure of humanity’s imagination to see itself as a unified entity."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"komesheni mashambulio" maandamano ya warumi mjini paris - picha ilipigwa na philippe leroyer - leseni ya 3.0 ya creative commons
"stop the raids" roma protest in paris - photo by philippe leroyer - creative commons license 3.0
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
maandamano ya kuunga mkono haki ya wahamiaji kufanya kazi jijini paris na austinevan kwenye flickr (cc-nc-sa-2.0)
demonstrations held in favor of the immigrants’ right to work in paris by austinevan on flickr (cc-nc-sa-2.0)
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baada ya mashambulio ya paris mnamo novemba 13, joey ameandika makala yenye kichwa cha habari, "mitaa ya paris inavyonikumbusha mitaa ya beirut ", ambayo imesomwa sana mtandaoni:
after the paris attacks on november 13, joey wrote a post titled, "the streets of paris are as familiar to me as the streets of beirut", which went viral:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting