Results for pembe ya bahari translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

pembe ya bahari

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

pembe ya kulungu

English

antler

Last Update: 2012-06-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ulaya: siku ya kimataifa ya bahari nyeusi

English

zimbabwe: is tsvangirai righting sadc's wrongs? · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na akaweka baina ya bahari mbili kiziwizi? je!

English

who set mountains upon it and placed a barrier between the two seas?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akitaka, huutuliza upepo navyo hivyo vyombo husimama tutwe juu ya bahari.

English

and if he wills, he stills the wind, and they remain motionless on its back.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari hizo ziliamsha maoni mengi na hata maswali zaidi kutoka kila pembe ya afrika kusini.

English

the saga elicited many opinions and even further questions from all corners of south africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika th!nk about it, adela anaandika kuhusu siku ya kimataifa ya bahari nyeusi.

English

marianna discusses latest efforts by zimbabwean prime minister to end zimbabwe's political crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

serikali iliwaomba wananchi kuondoka eneo lote la pwani kufuatia mawimbi ya kwanza ya bahari yalifika eneo la iquique.

English

the government asked for an immediate evacuation of the entire coastline as the first waves hit iquique.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na waulize khabari za mji ulio kuwa kando ya bahari, wakiivunja sabato (jumaamosi ya mapumziko).

English

(muhammad), ask them about the (people of the) towns on the seashore.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

niliwafunga wote pamoja ili wasibebwe na maji ya bahari, lakini unajua wakati miili imezama katika maji ya bahari, humomonyoka.

English

i tied them together so they would not be washed away by the sea, but you know when bodies are immersed in sea water, they fall apart.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akitaka, huutuliza upepo navyo hivyo vyombo husimama tutwe juu ya bahari. hakika katika hayo zipo ishara kwa kila mwenye kusubiri akashukuru.

English

had he wanted, he could have stopped the wind and let the ships remain motionless on the surface of the sea, in this there is evidence (of the truth) for all those who are patient and grateful,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliondoka nazareti, akaenda kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya genesareti, mpakani mwa wilaya za zabuloni na naftali, akakaa huko.

English

and leaving nazareth, he came and dwelt in capernaum, which is upon the sea coast, in the borders of zabulon and nephthalim:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika safari hiyo, wakati wa matembezi katika pwani ya bahari ambayo jina lake nimelisahau, vidole vyangu vilihisi maji ya bahari ya atlantic, hali inayonikumbusha pia venezuela.

English

on that trip, during a visit to a beach whose name i have forgotten, my toes first felt the waters of the atlantic, i owe that to venezuela too.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

au nani yule aliye ifanya ardhi mahali pa kutua, na akajaalia ndani yake mito, na akaweka milima? na akaweka baina ya bahari mbili kiziwizi?

English

"(are the idols worthier or) the one who has made the earth a resting place, the rivers flow from its valleys, the mountains as anchors and a barrier between the two seas?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hakuna tofauti kwa waparaguai, ambao huwaacha marafiki zao na familia ili kufuata fursa nyingine ama katika nchi za marekani ya kusini au ng'ambo nyingine ya bahari kwenye bara la ulaya.

English

it is no different for paraguayans, who leave behind friends and family for other opportunities, whether in other south american countries or across the ocean in europe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwezi desemba mwaka 2008, wanafunzi 20 walishinda vigezo vikubwa na kufuzu kutoka chuo cha uganga huko mogadishu – kundi la kwanza kufanya hivyo katika takriban miongo miwili ndani ya nchi iliyoshindwa katika pembe ya afrika.

English

in december 2008, 20 somali students overcame huge odds and graduated from medical school in mogadishu—the first batch to do so for almost two decades in the failed horn of africa state.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuna uongo wa ajabu unasambazwa kupitia wikipedia (asante karooboy kwa kuuonyesha) kwamba asili ya vuvuzela imetokana na “pembe ya kudu” ambalo lilikuwa likipulizwa na weusi.

English

incredibly, the ridiculous lie is now being spread via wikipedia (thanks karooboy for pointing out) that the origin of the vuvuzela is actually based on a “kudu horn” that the blacks used to blow.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na waulize khabari za mji ulio kuwa kando ya bahari, wakiivunja sabato (jumaamosi ya mapumziko). samaki walikuwa wakiwajia juu juu siku ya mapumziko yao, na siku zisio kuwa za kupumzika hawakuwa wakiwajia.

English

and ask the people of moses concerning the town situated along the sea how its people profaned the sabbath when fish came to them breaking the water's surface on sabbath days, and would not come to them on other than sabbath-days.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

halafu fuaatilia na mapigo makali ya taarifa rasmi za kutangaza habari juu ya jinsi pembe-ya-kudu ulivyokuwa ikitumika zama za kale kupiga mbiu za kuitawanakijiji mkutanoni, vikundi vya wakristo vikidai kuwa hiyo ni sehemu ya ibada zao takatifu na tunaishia na mechi za soka ambazo zinaweza kuangaliwa kwenye televisheni pale tu sauti ikiwa imeminywa.

English

you then follow it up with a barrage of press releases about the kudu horn being used in ancient times to summon villagers to meetings, christian cults claiming it as part of their sacred rituals and we get stuck with football games that can only be watched on tv with the mute button firmly on.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pembe ya ndovu iliyovunjika iliyopatikana kwenye hifadhi ya taifa ya hwange nchini zimbabwe, na terry feuerborn upinzani unaongezeka dhidi ya mapendekezo ya zambia na tanzania ya kuruhusiwa na makubaliano ya biashara ya kimataifa ya makundi ya mimea na wanyama walio katika hatari ya kutoweka (cites), kuuza hifadhi ya pembe za ndovu walizonazo.

English

broken elephant tusk found in hwange national park in zimbabwe, by terry feuerbornopposition is mounting against zambia's and tanzania's proposals to be allowed by cites, the convention on international trade in endangered species of wild fauna and flora, to sell their government held ivory stockpiles.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,729,604,148 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK