Results for reza translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

miaka mitatu iliyopita, mwanablogu mwingine, omid reza mir sayafi alifariki ndani ya gereza la iran katika mazingira ya kutatanisha.

English

three years ago, another blogger, omid reza mir sayafi died in an iranian prison under suspicious circumstances.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mohammad reza pourshajari, mwanablogu aliyefungwa hela anayefahamika kwa jina lake la kalamu siamak mehr, aliandika barua ya wazi kutoka jela ambapo alizungumzia vitendo vya utesaji na hali ngumu anayokabiliana nayo gerezani.

English

mohammad reza pourshajari, a jailed blogger known by his pen name siamak mehr, wrote an open letter from prison where he spoke of torture and extremely difficult conditions in prison.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnamo tarehe 30 septemba 2010, watumiaji wa lj tema, nl, sergeydolya na wengine wachache walitembelea ubalozi wa irani ili kukutana na "wanablogu wa kutoka irani": balozi seyed mahmoud-reza sajjdi (anayejulikana pia kama mtumiaji wa lj sajjadi ) na pavla ripinskaya (anayejulikana kama pashili), mwandishi wa kitabu kinachoitwa "incredible iranians/umahiri wa wairani)".

English

on sept. 30, 2010, lj users tema, nl, sergeydolya and a few others visited the iranian embassy to meet with "iranian bloggers": ambassador seyed mahmoud-reza sajjadi (aka lj user sajjadi ) and pavla ripinskaya (aka pashili), author of the book "incredible iranians."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,877,568,244 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK