Results for sababu za kusasisha translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

sababu za kusasisha

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

sababu za ajali za barabarani

English

reckless driving

Last Update: 2024-05-22
Usage Frequency: 2
Quality:

Swahili

miongoni mwa sababu za ombi hili ni:

English

amongst the reasons for the request is:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi, nini hasa ni sababu za matukio haya ya kujiua?

English

what are the reasons behind all these suicide cases?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makala moja ya mwaka 2008 inanukuu sababu za talaka kama ifuatavyo:

English

a 2008 article cites the causes of divorce:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapa unaweza kuona sababu za kwa nini tovuti hiyo imeitwa balik cina:

English

here’s the reason why the website is named balik cina:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

indonesian matters inanukuu ripoti ya mwaka 2007 kuhusu sababu za talaka:

English

indonesia matters cites a 2007 study about the causes of divorce:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

gershom ndhlovu anaangalia sababu za kwa nini watawala wa afrika hawataki kuachia madaraka:

English

gershom ndhlovu looks at the reasons why ailing african leaders wont step down:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

swali ambalo linaendelea katika fikra za wamalawi wengi ni sababu za matetemeko hayo ya radhi.

English

a question that lingers on the minds of many malawians is the cause of the earthquakes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sababu zilizotolewa na chama cha fjp kwa kuipinga serikali iliyopo madarakani sababu za kuikataa serikali ya ganzouri

English

reasons given by the freedom and justice party for opposing the current government. reasons behind our refusal of ganzouri's government

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

rina dewan aliandika katika ukurasa wake wa facebook akieleza sababu za kufanyika kwa kitendo hiki cha kikatili:

English

rina dewan posted on her facebook wall regarding the reason behind this heinous crime:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tusiposhughulikia sababu za msingi za kukosekana kwa usawa inayoigawa mno jamii ya malawi, tujiandae kwa matatizo zaidi.

English

unless we address the fundamental causes of the deep inequality ripping malawian society apart, we should brace ourselves for more cashgates.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, nilikuwa na sababu za kuamini kwamba familia isingeathiriwa sana, japokuwa uamuzi huo ulifanya kipato kupungua.

English

i had some ground to believe that my family would not suffer a drastic change in the standard of living even though i experienced a drop in my income.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mwanafunzi wa sheria, kwa urahisi, hii ni moja ya sababu za kijinga katika uchunguzi wowote wa kisheria ambao nimewahi kuusikia.

English

as a student of law, this is easily one of the most ridiculous grounds for any judicial investigation i have ever heard.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@commsbh: hatua hizo zinakuja kwa ajili ya kuzuia uvunjaji wa tunu za maadili na utamaduni pamoja na sababu za usalama.

English

@commsbh: the procedures comes in order to prevent any breaching of observable moral values and traditions as well as for security considerations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

isipokuwa kwenye jimbo la kusini la tamil nadu ambalo ni jimbo la kwanza duniani kutumia nyenzo ya filamu kwa sababu za kisiasa kuanzia wakati wa miaka ya 1940.

English

the southern state of tamil nadu, which is the first state in the world to effectively harness and use the film medium for political purposes right from the 1940s.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sababu za kuwepo na hatua husika bado hazijapoteza kabisa mizizi yake katika mfumo uliokuwepo kabla ya kibepari; na bado haijaota mizizi katika mfumo wa kibepari.

English

the reasons for existence and action have not yet completely lost their roots in the pre-capitalist system; they have not yet taken root in the capitalist system.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kama walivyo wengine, anasisitizia kidogo juu ya sababu za kujieleza kulikopita kiasi kwa shauku ya kombe la dunia, lakini anafikia hitimisho sawa sawa na lile:

English

and like the others, she dwells a little on the reasons of the somewhat excessive expressions of excitement for world cup, but reaches the same conclusion:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtumiaji wa lj offnet alilalamika kwamba moja ya sababu za kukatika kwa mtandao wa simu za mkononi ilikuwa ni utaratibu wa kimangimeza ambo ulihitaji usimikaji wa kituo kingine cha ziada cha kurushia matangazo hata katika wakati wa wa hali mbaya zaidi.

English

lj user offnet complained that one of the reasons for the cell phone network blackout was a bureaucratic routine that required mounting an extra re-translator cell stations even in extreme situations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa baadhi ya sababu za vifo hivyo zinafanana miongoni mwa jinsia, vijana wa kiume wako wanapoteza maisha kwa kasi zaidi kwa sababu ya kujiingiza kwenye vitendo vya matumizi ya nguvu wakati wasichana wakipoteza maisha kwa sababu ya matatizo ya uzazi.

English

although some causes of death are common to both sexes, young boys die at higher rate because of violence while giving birth as a teen is the main cause of death for young girls.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"sababu za kiusalama" zinatajwa kuwa kigezo kilichosababisha kanuni mpya zinazoweza kuhitimisha matumizi ya huduma maarufu za skype, whatsapp, viber na tango nchini bahrain.

English

"security considerations" are being cited as reasons behind new regulations which could put an end to the use of popular services such as skype, whatsapp, viber and tango in bahrain.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,794,304,072 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK