From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nami ni dhaamini wa hayo.
i pledge my word for it."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
nami ni pamoja nanyi katika wanao ngoja.
i am waiting with you."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mbona uniite fake friend nami ni si friend wako
and i am yours
Last Update: 2022-07-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mmh unanisifia tu ila akipo vizuri sana ni cha kawaida tu
mmh unanisifia tu ila akipo vizuri sana ni cha kawaida tu
Last Update: 2025-03-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ngojeni! nami ni pamoja nanyi katika wanao ngoja.
(muhammad), tell them, "wait and i too will be waiting with you."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
hamwoni ya kwamba mimi ninatimiza kipimo, nami ni mbora wa kukirimu?
as you can see, i give each of you a certain amount of grain; i am a polite host.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pangusa maeneo magumu, na ikiwa kiti chako ni cha ngozi unaweza kukipangusa pia.
wipe hard surfaces, and if your seat is leather you can wipe that too.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
# kitendo cha bokoharam kuwateka nyara wasichana 100 girls ni cha kuchukiza mno.
# bokoharam upducting 100 girls is an abomination.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hivi ni kwa sababu hakika mwenyezi mungu ndiye wa kweli, na hakika wanacho kiomba ni cha uwongo.
all this is because allah, he alone, is the truth and all that which they call upon beside him is false.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ingawa watu wanahitaji sana kuongea nami, ni nadra sana kushawishika kuchukua vipimo vya vvu kwa sababu wanaogopa.”
although people are keen to talk to me, they are rarely convinced to take an hiv test because they are scared.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kama wanafikiria chakula cha angkringan, basi itakuwa ni cha tofauti, chenye hadhi ya chini kinachopondwa na watu wasio na fedha, tabaka la masikini na watu wa kizamani.
if they think of angkringan at all, it is as something exotic, still a yogyakarta icon, but a place frequented by people with thin wallets, not classy, rich students.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chumba changu cha kulala bwenini ama kwa hakika ni cha kijapani, ni kidogo na kila kitu kimewekwa tayari kukabili matetemeko ya ardhi, yaani ni kama kuishi katika kopo la dagaa wa kusindika.
my dorm room is quite japanese, extremely tiny and everything is earthquake proof so it’s like living in an aluminium sardine can.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
cheti chenyewe kinatia mashaka makubwa na kinadhaniwa kuwa ni cha kughushi, tena kimejaa makosa ya kiuandishi na wakati huo huo majina yanayoonekana kwenye saini wala si ya yeyote miongoni mwa wanaofundisha katika kitivo cha sheria cha chuo hicho!
a degree so suspicious that is feared to be faked, with grammar mistakes and with names signing it who are not even members of the faculty of law!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sheria hiyo inatoa adhabu ya kifungo jela kwa yeyote ambaye hatatoa taarifa za kuwapo kwa raia anayefanya vitendo vya kishoga kwa mamlaka za kiserikali na vile vile sheria hiyo inatoa hukumu kwa mtu yeyote kutumia mitandao ya kijamii kama facebook na twita kwa minajili ya kupigania haki za mashoga kitendo kinachotafsiriwa na sheria hiyo kuwa ni cha jinai na hukumu yake ni kifungo kisichozidi miaka saba jela.
it also provides for prison sentences for anyone who does not report gay people to authorities and punishes the use of facebook and twitter accounts to fight for gay rights a crime with a maximum of seven years in jail.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: