From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tulijaribu kuchunguza kujua scalvini ni nani.
we tried to find out who scalvini is.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jamaa anayejiita george scalvini alidai kuwa na haki miliki ya video hiyo.
some george scalvini guy claimed intellectual ownership of the video.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
scalvini ana anuani ya twita , aliyoifungua mwaka 2012, na haina twiti yoyote.
scalvini has a twitter account, opened in 2012, with no tweets.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wanaohusika na filamu ya diário do centro do mundo wanasema kwamba anuani ya scalvini, ambayo iliyoomba uongozi wa youtube kuifuta helicoca, ilikuwa bandia:
diário do centro do mundo representatives say that the scalvini account, which requested that youtube remove helicoca, is a fake:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
siku kumi zilizopita, filamu ya maisha halisi mtandaoni inayoitwa “helicoca – the 60 million reais helicopter” iliondolewa kwenye mtandao wa youtube kufutia hatua ya mtu anayeitwa “jorge scalvini” aliyedai kuibiwa haki miliki.
ten days ago, web documentary “helicoca – the 60 million reais helicopter” was removed from youtube thanks to a copyright claim by a person named "jorge scalvini".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting