Results for shabiki translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mimi ni shabiki wa simba.

English

i am a simba fan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama shabiki wa rais kagame, kampeni hii ya agosti inakuhusu.

English

as a fan of president kagame, this august campaign is about you.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama wewe ni shabiki wa mavuvuzela, unaweza kutembelea tovuti ya blow me na uipulize vuvuzela.

English

if you are a fan of vuvuzela, you can visit blow me website to blow the virtual vuvuzela.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfanyakazi wa kujitolea wa peace corps anayeblogu kwenye oclynn in morocco hakuwa shabiki wa siku kuu.

English

pcv oclynn in morocco was less of a fan of the holiday.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika mabandiko yaliyofuata, khabensky alibainishakuwa barua za chuki zilijazana kwenye sanduku lake la kusomea barua, baada ya kuonyesha kuwa shabiki wa ukraine.

English

in follow-up posts, khabensky revealed that hate mail flooded his inbox, after his pro-ukraine post.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pointi muhimu ni kuwa rais museveni hajawahi kuwa shabiki mkubwa wa muswada huu na badala yake amekuwa mtu wa kuutilia mashaka: alikuwa anafahamu matokeo mabaya kimataifa.

English

a crucial point is that president museveni has never been an outspoken supporter of the bill, instead being rather dubious about it: he was fully aware of the disastrous international consequences.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matukio ya michezo yote kubwa, ikiwamo mechi za kandanda za serie a, zilikuwa zichezwe bila shabiki kuwepo hadi aprili, lakini mnamo 9 machi, michezo yote ilisimamishwa kabisa kwa angalau mwezi moja.

English

all major sporting events, including serie a football matches, were to be held behind closed doors until april, but on 9 march, all sport was suspended completely for at least one month.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sijawahi kuwa shabiki wa mavuvuzela (tarumbeta la plastiki ambalo mashabiki wa afrika kusini hupuliza wakati wa mechi za mpira wa miguu) , lakini nikiwa mkweli, haikuwa mbaya sana.

English

i’ve never been a fan of the vuvuzela (that long plastic trumpet that south african supporters blow at soccer matches), but to be honest, it really wasn’t so bad.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,917,884,243 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK