Results for silangan translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

barangay bagong silangan ni jamii masikini ya mjini iliyo sehemu ya kaskazini mashariki mwa mji mkuu wa nchi.

English

barangay bagong silangan is an urban poor community located in the northeastern part of the country’s capital.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kunusurika na mafuriko mabaya ya mwezi septemba, wakazi wa barangay bagong silangan wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi: kujenga upya nyumba zao na maisha yao.

English

after surviving the deadly flood last september, residents of barangay bagong silangan are facing a bigger challenge: rebuilding their homes and their lives.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mti wa aina ya m-dita wenye futi 40 ulikuwa kimbilio la hifadhi kwa watu 36 wa familia saba huko barangay bagong silangan (kijiji cha new east), kwenye mji wa quezon, metro manila wakati maji yalipofurika tarehe 26 septemba.

English

a 40-fee dita tree became a refuge for 36 members of 7 families in barangay bagong silangan (new east village), quezon city, metro manila as flood waters rose last september 26.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,615,660 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK