MyMemory, World's Largest Translation Memory
Click to expand

Language pair: Click to swap content  Subject   
Ask Google

You searched for: taa ya mafuta ( Swahili - English )

    [ Turn off colors ]

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Baada ya kuongeza bei ya mafuta na umeme, serikali inataka raia wake wakose kabisa fedha za kujilipua kwa moto

English

After increasing the prices of fuel and electricity, the government wants to guarantee that citizens will not find any money to set themselves on fire

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Badala yake, picha hizo zilikuwa mithili ya mafuta yaliyoongezwa kwenye moto unaowaka, kiasi kwamba baadhi hata wanathubutu kuhoji uhalisi wa mkutano huo kwa sababu hapakuwa na kipande cha rekodi ya sauti na video kuthibitisha madai hayo.

English

Instead, the images have further fanned the criticism, and some are doubting the authenticity of the meeting because there is no audio or video footage to back it up.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Fikra Juu ya Mkosi Unaoyanyemelea Mafuta: "kwa dibaji, Ninasema kuwa ninaamini katika haki za mali (ardhi na majengo), serikali yenye mipaka pamoja na mipango huru, japokuwa ni lazima niseme kuwa si rahisi kuidhibiti mikataba ya mafuta, hasa pale haki za mali (ardhi na majengo) zinapohusika."

English

Thoughts on Ghana's looming oil woes: "To preface, I should state that I believe in property rights, limited government and free enterprise, although I must say that oil agreements aren't easy to deal with, especially when property rights are involved."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Hakukuwa na tamko rasmi kuhusu marekebisho ya bei ya mafuta.

English

There was no official statement about the adjusted petrol price.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Indonesia: Maandamano ya Kupinga Bei ya Mafuta Yatikisha Majiji

English

Fuel Price Protests in Several Indonesian Cities · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kabla tu ya matetemeko huko kaskazini ya Malawi, Malawi ilikuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa nne kiuchumi katika maeneo ya mafuta, fedha za nje, umeme na maji.

English

Just before the earthquakes in northern Malawi, Malawi was experiencing four major economic challenges surrounding fuel, forex, power and water.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Katika mtiririko wake wa matukio kwa kufuata mpangilio wa muda, mtumiaji wa Twita @cuapolitik alisema kwamba wakati umefika wa kuongeza bei ya mafuta.

English

On his timeline, Twitter user @cuapolitik said that it's about time to increase the fuel price.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kuongezeka kwa bei ya mafuta ni ongezeko la kimkakati.

English

The increase in gasoline prices is a tactical increase.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwenye kundi la facebook la Malawi Fuel Watch (Tovuti inayofuatilia hali ya mafuta), raia mmoja wa mtandaoni aliandika:

English

On Malawi Fuel Watch Facebook group, one netizen wrote:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwenye mashamba ya miti ya mafuta ya michikichi, mara nyingi watoto hufanyishwa kazi za kupanda, kuvuna, kupakua, kupakia pamoja na kung’oa mimea.

English

Child laborers in oil palm fields often serve as fruiters, harvesters, haulers, loaders, and uprooters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Makampuni ya mafuta yaliendelea kuhusiana na wanasayansi kwa malipo yenye kutia shaka.

English

Oil companies continue having scientists on their payroll who are willing to sow doubts.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Miji kadhaa nchini Indonesia ilitikiswa na maandamano yenye lengo la kupinga ongezeko la bei ya mafuta katika wiki chache zilizopita.

English

Several Indonesian cities were rocked by protests against petrol price hikes in the past few weeks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwaka 1998, nchi iliingia kwenye machafuko baada ya mpango wa serikali wa kuongeza bei ya mafuta.

English

Back in 1998, the country descended into chaos following the government's plan to increase the fuel price.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwaka uliopita, zilipopanda gharama za wahudumu, bei ya mafuta na gharama za kutua ndege, Askofu Oyedepo alitaka kuuza ndege mbili.

English

Last year, as staff costs, fuel prices and landing fees escalated, Bishop Oyedepo had contemplated selling two of the jets.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwanasheria anayeheshimika na mhadhiri kwenye Chuo Kikuu cha Ghana, Kitivo cha Sheria, Dr. Raymond Atuguba ameonyesha kwa umakini jinsi wanamgambo wa eneno la Delta ya Naija, wanaojulikana kwa ukorofi wa kulipua mabomba ya mafuta, kuteka watu nyara na kudai dhamana kubwa na kusababisha vurugu kwenye eneo lenye utajiri wa mafuta nchini Naijeria wameanza kuingia Ghana kwa makundi.

English

A respected legal practitioner and lecturer at the University of Ghana, Law Faculty, Dr. Raymond Atuguba has chillingly revealed that militants in the Niger Delta region, notorious for blowing up oil pipes, kidnapping and demanding huge ransoms and causing unrest in the oil rich Nigerian region have started tripping to Ghana in droves.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwanzoni, serikali ya Indonesia ilikuwa na mpango wa kuongeza bei ya mafuta (petroli) kuanzia tarehe 1 Aprili.

English

Initially, the Indonesian government was planning to raise the petrol price on April 1.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nakala ya agiz la kupandisha bei ya mafuta kwa zaidi ya mara mbili nchini Misri.

English

A copy of the order to more than double the cost of fuel in Egypt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nchi yoyote inayoendelea kama Naijeria inayotaka kuendeleza sekta ya kilimo, italenga kuifanya serikali iingilie kati kusaidia wakulima kuongeza uzalishaji wa chakula, kuboresha utafiti na maendeleo, maji, kuhakikisha gharama ya chini ya mafuta na kazi, ( bila rushwa) pia ruzuku kwa kilimo vifaa na miundombinu ya msingi.

English

Any developing country such as Nigeria, wishing to develop its agricultural sector will focus direct government intervention to help farmers and boost food production on achieving steady supply of working capital, improve research and development, water supply, ensure low cost of fuel and labour, (corruption-free) subsidy on farming equipment and basic infrastructure.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ongezeko la asilimia 40 kwa bei ya mafuta nyie wadhalimu?

English

A more than 40pc increase in gasoline prices you infidels?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Pamoja na kuwa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na vurugu zilizotokea Mtwara, uhusiano uliopo kati ya TPDC na Statoil wapelekea wananchi wengi wa Tanzania kuongeza umakini wao kwenye masuala ya mafuta na gesi, na pia kuongezeka miongoni mwao kwa kutoridhishwa na namna serikali inavyosimamia mikataba ya rasilimali za asili na namna inavyowashirikisha wananchi.

English

Though not directly linked to the protests in Mtwara, the TPDC-Statoil affair underlines a growing awareness among Tanzanians of the issues surrounding oil and gas, and an increasing dissatisfaction with the way the government handles natural resources contracts and communicates this information to citizens.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Add a translation

Search human translated sentencesUsers are now asking for help:aapke husband kaha hai (Hindi>English) | schicksal (German>Dutch) | cuenca (English>Slovak) | nataka picha za x kutombana uganda (Swahili>English) | facta est grando et ignis (Latin>Spanish) | benehmen (German>Russian) | ani (Korean>English) | maanteeterminalid (Estonian>German) | hindi saxy video full (Hindi>English) | kahulugan ng sinisikil (Tagalog>English) | shorter tailed (English>Kannada) | marathi lanauge essay jar paus padla nahi tar (English>Hindi) | さあね (Japanese>English) | xx bf h d video (Hindi>English) | copropriétaire (French>Hungarian)


Report Abuse  | About MyMemory   | Contact Us


MyMemory in your language: English  | ItalianoEspañolFrançaisDeutschPortuguêsNederlandsSvenskaРусский日本語汉语한국어Türkçe

We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK