Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
katibu was tawi la kiseriani
the suburban chairman
Last Update: 2024-03-18
Usage Frequency: 1
Quality:
hela ilikatatawa kwenye atm iliyopo tawi la nmb
the time that the transaction took place
Last Update: 2019-10-15
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
starbucks, tawi maarufu la starbucks mjini beirut lilifungwa kwa siku moja kufuatia maandamano ya kulipinga.
starbucks, the famous starbucks branch was closed in beirut for a day because of the protests.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
yeye huliondoa ndani yangu kila tawi lisilozaa matunda, na kila tawi lizaalo hulisafisha lipate kuzaa zaidi.
every branch in me that beareth not fruit he taketh away: and every branch that beareth fruit, he purgeth it, that it may bring forth more fruit.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo nje hata likakauka. watu huliokota tawi la namna hiyo na kulitupa motoni liungue.
if a man abide not in me, he is cast forth as a branch, and is withered; and men gather them, and cast them into the fire, and they are burned.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
cndd-fdd chama tawala na tawi lake la vijana ni watuhumiwa wa kuvuruga mikutano ya upinzani na mauaji ya kiongozi mmoja wa upinzani.
the cndd-fdd ruling party and its youth wing are accused of disrupting opposition's meetings and the killing of one opposition leader.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
iwe ni ofisi ya uwakilishi ya dharura au ni tawi la ofisi ya kudumu, tunachokiomba kwa sasa ni kuwa ni kuiweka wazi nakala ya hati ya makubaliano, hilo ndilo haswa tunalolihitaji.
be it a temporary liaison office or permanent branch office, what we are asking for now is to show a copy of that mou to public, that's what we want mainly.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
brigedi ya palestina ya al qassam, tawi la kijeshi la hamas, lilionyesha miundo mitatu ya madege ya kijeshi leo, ikisema kuwa yalirushwa kwenye anga la israel.
palestinian al qassam brigades, hamas' military wing, unveiled three models of unmanned drones today, which it said it flew into israeli skies.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
google translatehistoria fupi ya chama: chama cha wasioona tanzania kilianzishwa mwaka 1964 na wanafunzi wa chuo cha ufundi manoleo mkoani tabora. lengo la kuanzishwa kwa chama lilikuwa kwa ajili ya kupigania maslahi ya wanachuo wa chuoni hapo. baadaye mwaka 1972 chama cha wasioona kilisajiliwa kwa namba za usajili 5034 na kuwa chama cha kitaifa na makao makuu kuhamishiwa dar es salaam. lengo likiwa kuwaunganisha wasioona wote nchini, kupigania haki na maslahi yao kwa njia ya ushawishi na utetezi. chama cha wasioona kina wanachama zaidi ya 3000 na matawi zaidi ya 105. aidha, chama cha wasioona wilaya ya temeke kilianzishwa mwka 2001 na wanachama waliokuwa wakiishi wilayani hapo, lengo likiwa kupigania haki na maslahi ya wasioona wa wilaya ya temeke. tawi hili lina zaidi ya wanachama 180.
google translate
Last Update: 2015-01-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: