Results for teremka translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

teremka

English

nigeria teremka

Last Update: 2021-06-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akasema: basi teremka kutoka humo!

English

allah said: 'then get you down from here.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akasema: basi teremka kutoka humo! haikufalii kufanya kiburi humo.

English

(allah) said: "(o iblis) get down from this (paradise), it is not for you to be arrogant here.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

anajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda huko.

English

he knoweth that which goeth into the earth and that which cometh forth from it, and that descendeth from the heaven and that which ascendeth into it.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

je! wakati haujafika bado kwa walio amini zikanyenyekea nyoyo zao kwa kumkumbuka mwenyezi mungu na haki iliyo teremka?

English

has not the time come for the believers to surrender their hearts to allah’s remembrance and to this truth that has come down?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

anayajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda humo. naye yu pamoja nanyi popote mlipo.

English

he knoweth all that entereth the earth and all that emergeth therefrom and all that cometh down from the sky and all that ascendeth therein; and he is with you wheresoever ye may be.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

anajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda huko. na yeye ni mwenye kurehemu, mwenye kusamehe.

English

he knows all that goes into the earth and all that comes out of it, and all that descends from the skies and all that ascends into it; and only he is the most merciful, the oft forgiving.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akakaa vyema juu ya enzi. anayajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda humo.

English

he it is who created the heavens and the earth in six periods, and he is firm in power; he knows that which goes deep down into the earth and that which comes forth out of it, and that which comes down from the heaven and that which goes up into it, and he is with you wherever you are; and allah sees what you do.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati haujafika bado kwa walio amini zikanyenyekea nyoyo zao kwa kumkumbuka mwenyezi mungu na haki iliyo teremka? wala wasiwe kama walio pewa kitabu kabla yao, muda wao ukawa mrefu, kwa hivyo nyoyo zao zikawa ngumu, na wengi wao wakawa wapotovu.

English

has not the time arrived for the believers that their hearts in all humility should engage in the remembrance of allah and of the truth which has been revealed (to them), and that they should not become like those to whom was given revelation aforetime, but long ages passed over them and their hearts grew hard? for many among them are rebellious transgressors.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,763,885,012 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK