From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
je, ni kazi ya tishu connective
what are the function of connective tissue
Last Update: 2022-10-19
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na utumie tishu kugusa skrini ya mguso au vidhibiti vingine.
and use a tissue to touch the touch screen or other controls.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kohoa na upige chafya kwenye kiwiko chako au tishu, na kisha tupa tishu hiyo mara moja na unawe mikono yako.
cough and sneeze into your elbow or a tissue, and then immediately throw away the tissue and wash your hands.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
cdc inapendekeza kufunika mdomo na pua kwa kutumia tishu unapokohoa au kupiga chafya na inapendekeza kutumia ndani ya kiwiko ikiwa hakuna tishu inayopatikana.
the cdc recommends covering the mouth and nose with a tissue when coughing or sneezing and recommends using the inside of the elbow if no tissue is available.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
enzaimu hizi zinadhihirika moja kwa wingi ndani ya viungo vingi vya mwili, hasa ndani ya moyo na ini na hutolewa wakati wa kuharibika kwa tishu.
these enzymes are expressed extensively in multiple organs, especially in the heart and liver, and are released during tissue damage.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baada ya kupangusa, tishu hizi zinafaa kutumiwa kufunga maji (na kufungua mlango wowote wa kutoka nje kama inatakikana).
after drying, the paper towel should be used to turn off the water (and open any exit door if necessary).
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tishu hazikuonyesha maenezi ya mno ya viini.mwaka wa 2005, utafiti uliofanywa na tÜv produkt und umwelt, mbinu tofauti za kukausha mikono zilitathminiwa.
paper towels showed no significant spread of micro-organisms.in 2005, in a study conducted by tÜv produkt und umwelt, different hand drying methods were evaluated.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ace2 ni protini ya utando wa aina i ya njia moja, kikoa chake kinachotumika cha kumeng'enya kikiwa kwenye sehemu ya juu ya seli katika mapafu na tishu nyingine.
ace2 is a single-pass type i membrane protein, with its enzymatically active domain exposed on the surface of cells in lungs and other tissues.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
data ya mpangilio wa rna ya seli moja ilionyesha kuwa tmprss2 inaonyeshwa sana katika tishu na tovuti kadhaa za mwili na inaonyeshwa pamoja na ace2 katika seli za epithelial za pua, mapafu na matawi ya bronchi, ambayo inaelezea baadhi ya tropism ya sars cov2.
sars-cov2 pseudovirus entry assays revealed that tmprss2 and cathepsin l have cumulative effects with furin on activating virus entry.
Last Update: 2021-11-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ikiwa mtu anakuwa mgonjwa katika ndege, uthabiti vyema kulinda wafanyakazi na abiria wengine hujumuisha kutenga mtu mgonjwa na wengine kwa umbali wa futi 6, kuchagua mfanyakazi mmoja wa ndege kushughulikia mgonjwa, na kumpa barakoa ya uso mgonjwa au kumwomba mgonjwa kufunika mdomo na mapua yao na tishu anapokohoa au kupiga chafya.
if a person becomes sick on an airplane, proper controls to protect workers and other passengers include separating the sick person from others by a distance of 6 feet, designating one crew member to serve the sick person, and offering a face mask to the sick person or asking the sick person to cover their mouth and nose with tissues when coughing or sneezing.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baada ya kuosha na kukausha mikono kwa tishu, idadi ya jumla ya bakteria ilipungua kwa wastani kwenye vidole kwa hadi 76%na kiganjani kwa hadi 77%.wanasayansi hao pia walifanya majaribio ili kubaini iwapo kulikuwa na uwezekano wa uchafuzi wa watumiaji wa bafu zingine na mazingira ya bafu kutokana na kila aina ya mbinu ya kukausha mikono.
after washing and drying hands with a paper towel, the total number of bacteria was reduced on average on the finger pads by up to 76% and on the palms by up to 77%.the scientists also carried out tests to establish whether there was the potential for cross contamination of other washroom users and the washroom environment as a result of each type of drying method.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: