From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
basi tukamwokoa yeye na ahali zake wote,
so we delivered him and all his family,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
basi tukamwitikia na tukamwokoa kutokana na dhiki.
so we answered him, and saved him from the affliction.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
basi tukamwokoa, pamoja na walio kuwa naye, katika jahazi.
then we saved him and his people in the ark to make them the successors of the rest.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
basi walimkanusha. nasi tukamwokoa yeye na walio kuwa pamoja naye katika jahazi.
(but) they belied him, so we saved him and those who were with him in the ark, and we drowned those who belied our verses.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa hivyo tukamwokoa yeye na walio kuwa pamoja naye katika marikebu iliyo sheheni.
and we saved him and those with him in the laden ship.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
basi tukamwitikia na tukamwokoa kutokana na dhiki. na hivyo ndivyo tunavyo waokoa waumini.
so we answered him, and delivered him out of grief; even so do, we deliver the believers.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na luut'i tukampa hukumu na ilimu na tukamwokoa na ule mji ulio kuwa ukifanya maovu.
and (remember) lout (lot), we gave him hukman (right judgement of the affairs and prophethood) and (religious) knowledge, and we saved him from the town (folk) who practised al-khaba'ith (evil, wicked and filthy deeds, etc.).
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
basi tukamwokoa yeye na ahali zake, isipo kuwa mkewe; tukamkadiria katika walio baki nyuma.
but we delivered him and his followers except his wife; we ordained her to be of those who remained behind.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na nuhu alipo ita zamani, nasi tukamuitikia, na tukamwokoa yeye na watu wake kutokana na shida kubwa.
(remember) noah, when he cried (to us) aforetime: we listened to his (prayer) and delivered him and his family from great distress.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: