Results for tumboni translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nikiwa tumboni mwa mama yangu

English

i was the moment of my mother

Last Update: 2020-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kijana aliyepigwa risasi kichwani na tumboni amefia mkononi mwangu.

English

a young man shot in the head and stomach died in my arms.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie.

English

behold, unto you do i vow that the child in my womb is to be devoted to your exclusive service.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nakwambia, mara tu niliposikia sauti yako, mtoto mchanga tumboni mwangu aliruka kwa furaha.

English

for, lo, as soon as the voice of thy salutation sounded in mine ears, the babe leaped in my womb for joy.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tulipokuwa mjini jumatatu na kuona vitu vinavyotupwa kwenye magari ya mizigo, nilichefuka mpaka tumboni.

English

when we were in town on monday and saw stuff being thrown into trucks, it made me sick to my stomach.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mama mama mama roho yangu iko mikono ni mwako nikiwa tumboni wote wamenikata umebaki wewe ndio hakimu wa nwisho juu ya roho mama

English

mother mother my soul is in your hands when i am in my stomach all of you have cut me off you are the judge of the ghost of the mother

Last Update: 2024-10-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

atakuwa mkuu mbele ya bwana. hatakunywa divai wala kileo, atajazwa roho mtakatifu tangu tumboni mwa mama yake.

English

for he shall be great in the sight of the lord, and shall drink neither wine nor strong drink; and he shall be filled with the holy ghost, even from his mother's womb.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie. hakika wewe ndiye mwenye kusikia na mwenye kujua.

English

i do dedicate unto thee what is in my womb for thy special service: so accept this of me: for thou hearest and knowest all things."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nikodemo akamwuliza, "mtu mzima awezaje kuzaliwa tena? hawezi kuingia tumboni mwa mama yake na kuzaliwa mara ya pili!"

English

nicodemus saith unto him, how can a man be born when he is old? can he enter the second time into his mother's womb, and be born?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hakika sina cha kukulipa kama fadhila ya kuniweka tumboni mwako miezi tisa na kunibeba kwa mgongo na mikono yako kwa zaidi ya miaka miwili nasema akuna kama wew mama angu sina cha kukupa zaidi ya kusema asante kipenzi changu

English

thank you for bringing me to earth today.

Last Update: 2024-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hongera kwa siku ya kuzaliwa kwangu namshukuru mungu kwa kunipa mwaka mwingine ni kwa rehema zake zanifanya nidum daima namsifu yeye pekee sitakata tamaa kwa namna yoyote ile sababu ni ueye pekee ajuaye mim nilivyo mbingu na nchi zilijua kuzaliwa kwangu wakuu wa nchi walijua kuzaliwa kwangu sikuja dunian kwa bahati mbaya ni mungu aliamua mimi nizaliwe na kuwepo mpka sasa si kwa mapenzi yangu bali ni mapenzi yake yalitimizwa utukufu na heshima kwake yeye pia asante mama kwa kunibeba tumboni mie

English

congratulations on my birthday i thank god for giving me another year it is for his mercy make me always praise him i will not give up in any way because only you know how i am heaven and earth knew my birth the heads of state knew my birth i did not come to earth unfortunately god decided i should be born and exist now not by my will but his will was fulfilled the glory and honor of him thank you to my mother for taking care of me too.

Last Update: 2024-09-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi, nikamwendea huyo malaika, nikamwambia anipe hicho kitabu kidogo. naye akaniambia, "kichukue, ukile; kinywani mwako kitakuwa kitamu kama asali, lakini tumboni kitakuwa kichungu!"

English

and i went unto the angel, and said unto him, give me the little book. and he said unto me, take it, and eat it up; and it shall make thy belly bitter, but it shall be in thy mouth sweet as honey.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,940,983,343 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK