From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sisi tumekuletea ishara itokayo kwa mola wako mlezi.
they told the pharaoh, "we have brought miracles from our creator.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na hakika tumekuletea kutoka kwetu mawaidha ya kukumbukwa.
and indeed we have given you from us a reminder (this quran).
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wakasema: bali sisi tumekuletea yale waliyo kuwa wakiyafanyia shaka.
"we have come to you with news," they said, "of what your people doubt;
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
hakika sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi nuhu na manabii walio kuwa baada yake.
indeed, we have revealed to you, [o muhammad], as we revealed to noah and the prophets after him.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
sisi tumekuletea ishara itokayo kwa mola wako mlezi. na amani itakuwa juu ya aliye fuata uwongofu.
and peace will be upon him who follows the guidance!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
namna hivi tunakuhadithia katika khabari za yaliyo tangulia. na hakika tumekuletea kutoka kwetu mawaidha ya kukumbukwa.
(o muhammad), thus do we recount to you the events of the past, and we have bestowed upon you from ourself an admonition.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hakika sisi tumekuletea wahyi wewe kama tulivyo wapelekea wahyi nuhu na manabii walio kuwa baada yake. na tulimpelekea wahyi ibrahim na ismail na is-haka na yaakub na wajukuu zake, na isa na ayub na yunus na harun na suleiman, na daud tukampa zaburi.
(muhammad), we have sent revelations to you just as were sent to noah and the prophets who lived after him and to abraham, ishmael, isaac, jacob, his descendants, jesus, job, jonah, aaron, and solomon. we gave the psalms to david.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: