From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mngalipaswa kusema: "bwana akitujalia tutaishi na tutafanya hiki au kile."
for that ye ought to say, if the lord will, we shall live, and do this, or that.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
usemi huu ni wa kweli: "ikiwa tulikufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye.
it is a faithful saying: for if we be dead with him, we shall also live with him:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
maana hata kama alisulubiwa kwa sababu ya udhaifu, lakini sasa anaishi kwa uwezo wa mungu. sisi pia tu dhaifu kwa kuungana naye lakini tutaishi naye kwa uwezo wa mungu kwa ajili yenu.
for though he was crucified through weakness, yet he liveth by the power of god. for we also are weak in him, but we shall live with him by the power of god toward you.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: