From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kufahamika kwa vitendo hivyo kadhalika inazilipua serikali zinazotafuta kubana zaidi vizuizi vya uandishi pamoja na mtandao wa intaneti.
the revelations also give ammunition to governments seeking to tighten restrictions on media and the internet.
edom ni mmoja wa waandishi wanawake wachache sana ninaowafahamu nchini ethiopia waliokuwa wanajihusisha na uandishi wa habari katika majukwaa anuai.
edom is one of the few female journalists i know in the country who practiced journalism on multiple platforms.
aina ya mtandao wa uandishi na uchapishaji wa mtandaoni ambao blogu ya kikaribea ya vitabu na geoffrey philp wanawazia utahitaji aina hii ya umotomoto na umahiri.
an online writing and publishing network like the one caribbean book blog and geoffrey philp imagine will need this kind of breadth and enthusiasm.
edom amejihusisha na uandishi wa habari ambao pamoja na kuwa uliambatana na kupuuzwa kwa uanaharakati wake, uanahabari wake umekuwa wa kukumbukwa na wa aina yake ya kipekee.
edom has done journalism along with her understated activism with a remarkable elegance.
happy birthday ������ kwako mtunzi wangu sam namuomba mungu akamilishe malengo yako na hasidi kuinua kipaji chako cha uandishi narudia tena happy birthday ndugu yangu
happy birthday ������ kwako mtunzi wangu sam namuomba mungu akamilishe malengo yako na hasidi kuinua kipaji chako cha uandishi narudia tena happy birthday ndugu yangu