From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
janga hili limesababisha mavurugo makubwa zaidi katika kalenda ya ulimwengu wa michezo kutokea vita kuu ya pili ya dunia.
the pandemic has caused the most significant disruption to the worldwide sporting calendar since the second world war.
mwandishi wa michezo ya kuigiza aizzah fatima aliigiza uhusika anaouita "mwanaharakati haki za wanawake anayevaa hijabi."
playwright aizzah fatima plays a character she calls a "hijabi feminist."
maofisa wengine wa huo mkoa wa asia, waliokuwa rafiki zake, walimtumia paulo ujumbe wakimsihi asijihatarishe kwa kwenda kwenye ukumbi wa michezo.
and certain of the chief of asia, which were his friends, sent unto him, desiring him that he would not adventure himself into the theatre.
uchambuzi wa mitindo ya usafiri kwa ndege ilitumiwa kuweka kwenye ramani na kutabiri mitindo ya kuenea na ilichapishwa katika jarida la usafiri wa kimatibabu katikati ya januari 2020.
an analysis of air travel patterns was used to map and predict patterns of spread and was published in the journal of travel medicine in mid-january 2020.
uchambuzi wa machapisho hayo unaonyesha kukosa ujuzi na kutotimiza sharti la kupata maoni ya upande wa pili, na mara nyingine kupuuzia kabisa kwa taaluma ya habari na waandishi .
the analysis of the publications and shows lack of competence and objectivity, and sometimes outright unhidden bias of the journalists .
katika nyakati nyingine, ofisi ya kurekebisha hali ya hewa imepunguza mvua kuhakikisha anga linakuwa tupu, mfano wakati wa gwaride la siku ya uhuru au wakai wa michezo ya olimpiki.
at other times, the weather modification office has reduced the rain to ensure clear skies, such as during the national day parade in october or the beijing olympic games.
akitangaza tunu hiyo ya hali ya uhamiaji wa renard — utakaomfanya asiwe na haja ya kuomba upya kibali cha ukaazi — waziri wa michezo chishimba kambwili slisema:
announcing the granting of renard's new immigration status - so that he does not have to renew his work permit - sports minister chishimba kambwili said:
jumuiya ya global voices na mtandao wa marafiki na washirika wetu tunadai kuachiwa kwao, kwa kuwa walifanya kazi kwa bidii katika kupanua fursa ya uchambuzi wa kijamii na kisiasa nchini ethiopia kupitia uandishi wa kiraia na ule wa kawaida.
the global voices community and our network of friends and allies are demanding the release of these nine men and women, all of whom have worked hard to expand spaces for social and political commentary in ethiopia through blogging and traditional journalism.
jukwaa la msumbiji liitwalo olho cidadão (jicho la wananchi) lilizindua blogu mpya tarhe 2 aprili, 2013, kwa uchambuzi wa uwepo wa vyama vya siasa mtandaoni .
mozambican platform olho cidadão (eye of the citizen) launched a new blog on april 2, 2013, with an analysis of the presence of political parties on the internet .
uchambuzi wa chembe za urithi imeonyesha kuwa virusi vya korona huungana na chembe cha virusi vya korona beta, katika jamii ndogo ya virusi vya sarbe (kizazi b) pamoja na aina mbili kutoka popo.
genetic analysis has revealed that the coronavirus genetically clusters with the genus betacoronavirus, in subgenus sarbecovirus (lineage b) together with two bat-derived strains.
siku hiyo hiyo mwaka 2012, arcoiris waliratibu tukio la kwanza la "besada," na karibu watu 50 walihudhuria tukio hilo katika maeneo ya uwanja wa michezo wa ramon fonst, kwenye manispaa ya plaza havana.
on the same date in 2012, arcoiris organized the first "besada," and nearly 50 people participated in that event in the vicinity of the sports arena ramon fonst, in the municipality plaza havana.
wakati huo huo, mwanablogu drima pia aliomboleza kifo cha mwandishi huyo mashuhuri na wanablogu wenzake, kwa kuandika uchambuzi wa kina wa matokeo ya agizo la kumkamata rais wa nchi yake iliyotokana na tuhuma za mauaji ya kimbari na makosa dhidi ya wanaadamu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa ya jinai (icc).
meanwhile, as drima mourned along with his fellow bloggers the death of his country's great novelist, he also blogged an in-depth analysis on the possible consequences of an icc arrest warrant charging his country's president with crimes against humanity and genocide.
utafiti mwingi wa kipindi hiki ulikuwa wa umuhimu wa kudumu, sio tu kwa mt lakini pia kwa lugha za kiakili na akili ya bandia - haswa, maendeleo ya dikteta za kibinadamu na za mbinu za uchambuzi wa maumbile - na vikundi vingi vya nadharia vilitoa mchango mkubwa kwa nadharia ya lugha. . walakini, lengo la msingi la mifumo ya kujenga yenye uwezo wa kutoa tafsiri nzuri haikufikiwa. matumaini yalikuwa juu, kulikuwa na utabiri mwingi wa imminen
much of the research of this period was of lasting importance, not only for mt but also for computational linguistics and artificial intelligence — in particular, the development of automated dictinaries and of techniques for syntactic analysis — and many theoretical groups made significant contributions to linguistic theory. however, the basic objective of building systems capable of producing good translations was not achieved. optimism had been high, there were many predictions of imminen
Last Update: 2019-12-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: