Ask Google

Results for ukatili wa kijinsia translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Usawa wa kijinsia

English

Gender equality

Last Update: 2014-05-20
Usage Frequency: 1

Reference: Wikipedia

Swahili

Kumkumbatia mtu ni unyanyasaji wa kijinsia??

English

Hugs are harassment??

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Wikipedia

Swahili

Ubaguzi wa kijinsia katika Lugha za Kiafrika

English

GENDER STEREOTYPING IN AFRICAN LANGUAGES

Last Update: 2014-10-27
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Misri: Maandamano ya Kukomesha Udhalilishaji wa Kijinsia Yavamiwa

English

Egypt: March to End Sexual Harassment Attacked · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Mwezi Juni matembezi ya kupinga udhalilishaji wa kijinsia yalishambuliwa.

English

In June a march against sexual harassment was attacked.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Ukatili wa Polisi Nchini Macedonia: Miaka Miwili Baadae

English

Police Brutality in Macedonia: Two Years On · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Israeli: Waandamanaji Wakumbana na Ukatili wa Polisi Jijini Yerusalemu

English

Israeli Social Justice Protesters Met with Violence by Jerusalem Police · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Ufilipino: Maandamano “Kukaa” Yauzidi Ukatili wa Polisi

English

Philippines: “Occupy” Protests Overcome Police Brutality

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Misri: Waandamanaji Watuma Ujumbe Dhidi ya Udhalilishaji wa Kijinsia.

English

Egypt: Protest Sends Message Against Sexual Harassment · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Watu wameonyesha kushangaa vyote viwili, mauaji na ukatili wa polisi.

English

People have expressed shock about both the killing and the police brutality.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Tunasema hapana kwa udhalilishaji wa kijinsia, linasomeka bango moja kwenye maandamano.

English

No to sexual harassment, reads a sign held at the protest.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Vyombo vya habari vimeupa uteuzi huu sura ya mwelekeo wa kijinsia wa mtauliwa.

English

The media coverage of the nomination focused too much on the social orientation of the nominee.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Hili ni miongoni mwa matukio ambayo umakini wa usawa wa kijinsia lazima uzingatiwe.

English

This is one of those cases where gender-sensitive approach is needed.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Kusudi la vuguvugu hilo ni kupunguza ubaguzi wa kijinsia katika sekta ya kilimo.

English

The initiative aims to alleviate gender discrimination within the agricultural sector.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Vyombo vya habari vinazungumzia tu masuala ya siasa pamoja na ukatili wa wanajeshi.

English

Media mostly cover political and military violence.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Wengine walitumia alama habari hiyo kupendekeza kuwa ukatili wa kimapenzi ndio uwe adhabu ya wabakaji:

English

Some used the hashtag to suggest sexual violence as a punishment for rape:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

"Udhalilishaji wa kijinsia dhidi ya wanawake "hutokea" kila mahali kila siku"??

English

"Violence against women" occurs "everywhere every day"??

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Mjini Imphal , watu walipaza sauti zao ili kutafuta haki dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia wa msichana.

English

India protested vehemently against recent gang-rapes, Imphal cried out for justice against sexual harassment of a girl.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Moja ya mafanikio makubwa ya nchi ya Rwanda ni kukua kwa usawa wa kijinsia katika maeneo mengi.

English

One of Rwanda's most remarkable achievements is the progress of gender equality in numerous areas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Swahili

Nchini Misri, udhalilishaji wa kijinsia ni tatizo kubwa, na ndilo jambo linaloongozwa kupingwa na Wamisri.

English

In Egypt, sexual harassment is a serious problem, and one which more and more Egyptians are speaking out against.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1

Reference: Anonymous

Get a better translation with human contributions

Help rating similar searches:

Users are now asking for help:

We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK