From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
parvita naandika zaidi kuhusu unyanyapaa unaoambatana na wanawake waliotalikiwa nchini indonesia:
parvita writes more about the stigma associated with divorced women in indonesia:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kijamii, nchini haiti, nilibaini mnamo mwezi februari kuwa tayari kulikwishakuwa na unyanyapaa mkubwa unaoambatana na ugonjwa wa kuharisha.
socially, in haiti, i found in february that there was already tremendous stigma attached to diarrhea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ni filamu bora kabisa na yenye maudhui mazito ya uchunguzi kuhusu udhaifu wa sekta ya uchimbaji wa madini nchini zambia na uharibifu wa kimazingira unaoambatana na shughuli hizo.
a powerful documentary on the economic plunder of copper mining in zambia and the associated environmental damage.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwenye makala iliyopewa kichwa cha habari "kifo katika safari ya kuelekea ulaya", philippe rekacewicz, ambaye ni mfaransa na msanifu wa ramani, atoa ufafanuzi unaoambatana na mfululizo wa ramani kuhusiana na harakati za wahamiaji kutoka afrika kuelekea ulaya.:
in an article entitled "dying at the gates of europe", philippe rekacewicz, a french cartographer, illustrates with a series of map the story of the migrants struggle from africa to europe :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting