From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
toleo jipya linapatikana
new version available
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
natarajia kuagiza toleo jipya la kitabu kinachoitwa, “nani ya kukwepa mkono wa sheria unapoua’
i expect a book trilogy release 'how to get away with murder' #oscarpistorius — jess espin (@jessespinx) october 21, 2014
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ninapenda kuishukuru serikali kwa kutukumbusha kwamba bahrain ni toleo jipya la nchi za dunia ya tatu ambako uhuru ni jambo linaloongelewa tu lakini halipo.
i would like to thank the government for reminding us that bahrain is still a new version of a third word country where freedom is something to talk about but not to experience.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, bado toleo jipya ya muswada lina vipengele vinavyolenga kuzuia moja kwa moja uhuru wa kujieleza wa mtandaoni, hiki ndicho kinachoitwa kipengele cha "kuua blogu" (aya.
yet somehow the new version still includes a small clause aimed at directly restricting online free speech,the so-called "blog-killing" provision (par.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
chama cha rdp na vyama vingine vya upinzani viliitisha mkutano na waandishi wa habari mchana wa jumamosi vikidai uwepo wa mlolongo wa kasoro zikijumuisha wino usifutika ambao haukufanya kazi, karatasi za kupigia kura ambazo hazikuwa na muhuri rasmi, na daftari la wapiga kura linalobadilika kila wakati (ambalo lina toleo jipya lenye tarakimu tofauti ya idadi ya wapigakura walioandikishwa).
the rdp and several other opposition parties held a press conference on saturday afternoon alleging a string of irregularities including indelible ink that didn't work, ballot papers that did not have the official stamp, and the ever-changing voters register (of which there is a new version with yet another figure for the number of registered voters).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: