Results for ungana na jamii ya marafiki wa ku... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

ungana na jamii ya marafiki wa kuaminika

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mykagame ni ukurasa wa klabu ya marafiki wa paul kagame.

English

mykagame is an online fan club for paul kagame.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mtazamo yakinifu, ni kama vile nchi yetu imeshatengwa na jamii ya kimataifa.

English

from the inside perspective, it's as if our country has been ostracized.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

leo ni siku ya kihistoria katika nchi hasa tunapotaka kuwa na jamii ya watu wanaowajibika zaidi ...

English

today is something of a historic day for the country in our quest for a more accountable society...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wiki hii ijayo tutafuatilia maelekezo ya ziada kwenye wikimania na makongamano mengine ya kimkoa na jamii ya mada.

English

this coming week we will follow up with additional guidance on wikimania and other regional and thematic community conferences.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, baadhi ya marafiki wa ki-hindi wa mume wangu wamemweleza nia zao za kutafuta wanawake wa kizungu.

English

however, some of my husband's indian friends have expressed their desire to find a white girl to my husband.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

update: kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni, kamati ya watu tisa ilishiriki kwenye jukwaa la majadiliano pamoja na jamii ya viongozi wa dini nchini humo.

English

update: according to the latest reports, the nine-member committee participated in a discussion forum with the clerics community of the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bi. bakhshi alisema wakati wa ziara ya kifamilia ya majira ya joto walioifanya nchini uturuki waligundua kwamba baadhi ya marafiki wa amin walikuwa wamekamatwa.

English

ms. bakhshi said during this summer’s annual family visit to turkey they discovered that some of amin’s friends had been arrested.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

redio bado ni nia ya kwanza ya mawasiliano barani afrika, na ghana ina sekta ya redio iliyo hai na yenye kushirikisha jamii zilizo vitongojini na jamii ya kitaifa.

English

radio is still the number one communications medium across africa, and ghana has a particularly vibrant and active one with a lot of local and national community interaction.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati global voices ina nia ya kuelekeza habari zinazoripotiwa na vyombo vya habari vya kitamaduni - ambavyo vingi vyake vinahudumia mataifa au maeneo malum – kadhalika tunajenga jukwaa kwa ajili ya mazungumzo ya kidunia, na jamii ya raia wa dunia katika mazungumzo hayo.

English

while global voices seeks to influence the stories reported by traditional news media - most of which serve specific nations or regions - we are also building a platform for global discourse, and a community of global citizens around that discourse.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya wanablogu walinyooshea kidole kejeli ya serikali ya kuwanyunyuzia waandamanaji rangi ya waridi – rangi ambayo mara nyingi huhusishwa na jamii ya mashoga na wasagaji – ikizingatiwa kuwa muswada unaopinga ushoga hivi sasa unapitiwa ndani ya bunge la uganda.

English

some bloggers pointed out the irony of the government spraying protesters pink — a color often associated with the gay and lesbian community — given the anti-homosexuality bill currently making its way through uganda's parliament.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanablogu wa venezuela na jamii ya mtandaoni kwa ujumla, wanasherehekea sanaa yake kwa kupitia makala, mapitio, na video zilizochukuliwa kwenye makumbusho na ndani ya kazi zenyewe, wakati wakieleza maana ya kazi za sato katika utamaduni wao, sura ya nchi na maisha yao ya kila siku.

English

venezuelan bloggers and the online community in general, celebrate his art through articles, reviews, and videos taken in museums and inside the works themselves, while explaining the meaning of soto’s works in their culture, landscape and daily life.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

federico, ambaye ni wa kabila la mandaya (jamii ya wazawa wa lumad kutoka mashariki ya mindanao), anawahamashisha wasanii wachanga kuongeza maaarifa yao kuhusu utamaduni wa ufilipino kwa kujumuika na jamii za wazawa.

English

federico, who is a mandaya (lumad indigenous people from the eastern part of mindanao), encourages younger artists to enrich their knowledge of philippine culture by integrating with ethnic communities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati rais wa zamani wa côte d'ivoire rais laurent gbagbo akiwa bado amejichimbia ndani yahandaki nchini humo, akigoma kukamatwa kwa kuendelea kukataa kushindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2010, ushiriki wa ufaransa katika harakati za kumng’oa zinasababisha miitikio miongoni mwa wanasiasa na raia wa ufaransa , pamoja na jamii ya waafrika waishio ufaransa..

English

while former côte d'ivoire president laurent gbagbo is still holed up in a bunker in the country, resisting arrest for continuing to deny his loss of the 2010 presidential election, the participation of france in the bid to oust him is raising reactions amongst french politicians and citizens , as well as within the african community in france.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,794,183,657 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK