Results for urasimu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kufafanua dhana ya urasimu katika lugha

English

defining the concept of bureaucracy in language

Last Update: 2020-11-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama hatutaushinda ufisadi na urasimu katika kipindi kijacho, tunaweza kuyapoteza mapinduzi haya.

English

if we don’t beat corruption and bureaucracy in the next period, we could lose this revolution.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inashangaza pale unapobaini ni ujasiri kiasi unaotakiwa katika kukabiliana na changamoto ya lugha, urasimu pamoja na mahusiano.

English

it is surprising when you find out how much strength is necessary to overcome language barriers, bureaucracy, and relationships.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ukiwa na mifano inayofaa, fafanua kuharibika kwa mikakati sita iliyotolewa na modeli ya urasimu wa kiwango cha juu cha weber katika taasisi ya elimu

English

with relevant examples, explain six dysfunction of strategies provided by max weber's bureaucratic model in governing educational institution

Last Update: 2021-06-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

dhamana imelipwa na tumemaliza urasimu wote na mwendesha mashitaka wa serikali na kituo cha pilisi na ahmed abdelrahman ameshuka kwenye gari la polisi na amekuwa kwenye kituo cha polisi kwa muda mrefu.

English

the bails have been paid and we have completed the formalities with the public prosecution and the police station and ahmed abdelrahman has left the police car and has been in the police station for a long period of time.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kiutaratibu, kukusanyika watu wasiozidi 500 kwenye viwanja hivyo hakuhitaji ruhusa, wakati kuwa na ibada ya kumbukumbu hata mbele ya ubalozi wa kenya au kwenye eneo lolote la kibiashara kunahitaji kufuata urasimu mkubwa.

English

technically, gatherings of less than 500 people do not need a permit in that park, while having a vigil even in front of the kenyan embassy or in another commercial place would require cumbersome bureaucracy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,876,853,769 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK