Results for utambuzi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

maendeleo ya utambuzi

English

sensory development

Last Update: 2024-04-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Excellent

Swahili

hedy epstein amekuwa akielimisha na kuoneza utambuzi kuhusu maandamano hayo.

English

hedy epstein has been actively raising awareness about the march.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Be the first to vote

Swahili

je! unarejelea algorithm gani na miongozo gani ya matibabu hadi kuja na utambuzi?

English

what algorithm and treatment guidelines do you refer to until coming up with the diagnosis?

Last Update: 2022-04-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Excellent

Reference: Anonymous

Swahili

mwili wa kiongozi huyo wa waasi utafanyiwa uchunguzi zaidi wa dna ili kuthibitisha utambuzi wake.

English

the body of the rebel leader will undergo dna tests to confirm identity.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Be the first to vote

Reference: Anonymous

Swahili

pakiti mpya za dawa hii, zitakuwa na mhuri wa utambuzi na alama nyingine ili kuonyesha kuwa dawa hizi ni halali.

English

new packets of the drugs will have three-dimensional hologram seals and other features to indicate the drugs are authentic.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Be the first to vote

Reference: Anonymous

Swahili

asili ya ukuaji ya mers-cov kutoka kwa popo inafahamika katika utambuzi wake wa kwanza na pia imethibitishwa na matokeo yaliyofuatia.

English

the evolutionary origin of mers-cov from bats is known at its initial identification and has also been strengthened by subsequent findings.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Be the first to vote

Reference: Anonymous

Swahili

tukio kubwa zaidi leo, linaloitwa mchuchumao mkubwa, linawataka watu wasimame na wachuchumae kwa dakika moja katika sehemu za umma ili kuongeza utambuzi.

English

the largest event today, called the big squat, asks people to stop and squat for one minute in a public place to raise awareness.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Be the first to vote

Reference: Anonymous

Swahili

kwangu, miaka ile 4 ilinipa fursa ya kuvinjari utambuzi wa nafsi zangu tofauti na hamu kubwa ya kutaka kujifunza jinsi ya kuishi kati ya tamaduni 2.

English

for me, the 4 years brought an exploration of my various sub-identities and a strong desire to learn how to live between 2 worlds.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Be the first to vote

Reference: Anonymous

Swahili

ubunifu huu unahusisha kuweka maandiko yanayokwaruzika katika dawa, maandiko haya yana nambari ya utambuzi, ambayo mtu anatuma kwa kupitia huduma ya ujumbe mfupi ili kuhakikisha kuwa dawa hiyo ni halali.

English

in simplified terms, the idea is to place a scratch-off label on the products; the label contains a unique code, which the consumer sends via sms and then receives a reply as to whether the product is authentic or not.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Be the first to vote

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, ni mageuzi ya kimsingi katika utamaduni mzima wa mashabiki na siyo utambuzi kwamba manyanga yale yalikuwa yanakera,ndiyo yaliyoyaondoa manyanga yale kwenye viambaza."

English

yet it was a shift in the entire base of fan culture, rather than a simple realisation that rattles were annoying, that removed the rattle from the terraces.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Be the first to vote

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

fafanua muda wa vipindi vya masomo kupitia njia za kimtandao kulingana na uwezo wa wanafunzi kujisimamia wenyewe: weka muda unaofaa kulingana na kiwango cha wanafunzi kujisimamia na uwezo wa utambuzi hasa kwa mafunzo kupitia njia za kimtandao ya moja kwa moja.

English

define the duration of distance learning units based on students’ self-regulation skills: keep a coherent timing according to the level of the students’ self-regulation and metacognitive abilities especially for livestreaming classes.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Be the first to vote

Reference: Anonymous

Swahili

hali zingine kama ilivyoonyeshwa na tathmini za hatari za ndani". who inapendekeza kuripoti watu wanaoshukuwa au wamedhibitishwa kuwa na maambukizo ya covid-19 ndani ya saa 48 baada ya utambuzi.

English

other situations as indicated by local risk assessments".who recommends reporting of probable and confirmed cases of covid-19 infection within 48 hours of identification.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Be the first to vote

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

fomu ya utambuzi wa maelezo ya kazi nimepokea nakala ya maelezo ya kazi kwa nafasi yangu: nafasi: tarehe ya _______________________________________________________________ mapitio: _________________________ nimepitia maelezo haya ya kazi na ninaelewa majukumu na majukumu yangu yote ya kazi. ninaweza kufanya kazi muhimu kama ilivyoainishwa. ninaelewa kuwa kazi yangu inaweza kubadilika kwa muda au mara kwa mara kulingana na mahitaji ya eneo langu au idara bila hiyo

English

job description acknowledgement form i have received a copy of the job description for my position: position: _______________________________________________________________ revision date: _________________________ i have reviewed this job description and i understand all my job duties and responsibilities. i am able to perform the essential functions as outlined. i understand that my job may change on a temporary or regular basis according to the needs of my location or department without it

Last Update: 2024-12-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Excellent

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,800,724,997 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK