Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tena, ni serikari gani kandamizi ambayo itataka ukweli usemwe juu ya jinsi ilivyo kiasi cha kuzuia urushwaji wa video ambayo mtu yoyote anaweza kuipata?
again, which oppressive regime would want to have the truth told about how it entrenches its power blown open in a video clip that can be accessed by all?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
savia, shule ya kufunza kuheshimu na kuilinda sayari hii imetengeneza video, ambayo inatoa hadithi ya laguna del tigre na kueleza kwanini ni muhimu kulilinda eneo hilo (yenye vidokevya vya maandishi ya kiingereza).
savia, a school for learning how to respect and protect the planet created a video, where the story of the laguna del tigre is told and why they feel it is important to protect it (with english subtitles).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika sehemu moja ya picha hiyo ya video, ambayo ilionyesha chumba kilicho na samani za maana ikiwa ni pamoja na jokofu, tymoshenko anaweza kusikika akisema: "nilikuwa nimewekwa mahali penye hali mbaya sana, sitaki mwonyeshe picha hizi zinazodanganya kuhusu hali halisi sasa."
in another part of the footage, which showed a well-furnished room with a refrigerator, tymoshenko can be heard saying: "i was being kept before in unacceptable conditions and i don't want you to show this false picture now."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.