Results for vijiko na vyombo vimo jikoni translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

vijiko na vyombo vimo jikoni

English

spoons and kitchen utensils heights

Last Update: 2013-08-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

picha ya video ya mkutano na vyombo vya habari

English

screenshot from press conference video

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vilevile mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada.

English

moreover he sprinkled with blood both the tabernacle, and all the vessels of the ministry.

Last Update: 2024-05-05
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

eneo hasa ilikotokea ajali ni tofauti na lile linaloonyeshwa na vyombo vya habari.

English

the real scene is totally different than what the media shows.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

washukuiwa wawili wamekamatwa na wanaendelea kuhojiwa na vyombo vya ulinzi na usalama.

English

two suspects are in detention and are being interrogated by security forces.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mpaka sasa, waandamanaji wanne wamepigwa risasi na vyombo vya usalama kutokana na maandamano hayo.

English

so far, four protesters have been shot dead by security forces as a result.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilichukuliwa pia sana na kuchapishwa na vyombo vikuu vya habari za urusi na kujadiliwa sana katika blogu nyingi.

English

it was widely covered by the russian mainstream media and discussed on the countless blogs.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilimaanisha vingi kwamba baade alionekana kuyakwepa matamshi hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari tarehe 28 aprili.

English

it was a big call that he seemed to backing away from when he spoke to the media on 28 april:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

blogu ya the creatively maladjusted inatazama kublogu na vyombo vya habari vya kijamii nchini tanzania katika miaka 50:

English

the creatively maladjusted looks at blogging and social media in tanzania at 50:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

amekuwa ni kipenzi cha india, amekwezwa na kupendwa na wahindi wote na kutangazwa na vyombo vya habari vya india na ulimwengu wote.

English

she became a darling of india, pampered and loved by all indians and projected by indian and world media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

-kwa mara ya kwanza waandamanaji wa kiwango hiki hawakuhitaji kuungwa mkono na vyombo vya habari vya kale kwa ajili ya uhamasishaji.

English

- for the first time protests of this scale did not need the support of mass media for mobilization.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

haikwepeki kwamba, habari nyingi ambazo huwa hazipati usomaji mkubwa kuliko zinavyostahili zinatoka kwenye nchi ambazo hupuuzwa na vyombo vikuu vya habari.

English

inevitably, many of the stories that don't get as wide a readership as they deserve are from countries that tend to be overlooked in international media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

aaron leaf anajadili jinsi taswira ya rais wa liberia, ellen johnson sirleaf, hujengwa na vyombo vya habari kimagharibi kama alama ya mambo yote mazuri.

English

aaron leaf discusses how the liberian president, ellen johnson sirleaf, is often presented by western media as an avatar of all things good.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

blogu yenye jina la madhara kwa raia wakati wa mapambano mjini gaza na kusini mwa israeli imetengenezwa na asaasi za haki za kibinaadamu za kiisraeli ili kuorodhesha matukio ambayo hayaandikwi na vyombo vikubwa vya habari.

English

a blog called harm to civilians during the fighting in gaza and southern israel has been set up by israeli human rights groups to document events that are not being covered by the media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@ajstream: kwa nini serikali na vyombo vya habari nchini uturuki wanapuuza mgomo wa kutokula unaofanywa na wafungwa wa kisiasa wa kikurdi 715?

English

@ajstream: why has the government and media in turkey ignored the hunger strikes of 715 kurdish political prisoners?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

... mara tu nilipowekwa chini ya ulinzi nyumbani kwangu na vyombo vya usalama, niliteswa, nilipigwa na kutishiwa kifo...mimi ni mhanga wa unyanyasaji wa utawala huu wa kiislamu.

English

... as soon as i was arrested in my apartment by security forces, i was tortured, beaten and threatened to be executed... i am one of the victims of the islamic regime's repression.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

habari za kifo cha kanumba zilianza kusambaa alfajiri ya jumamosi kupitia mitandao ya kijamii hususani facebook na twita, matumizi ya ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu za mkononi, na kisha kudakwa na vyombo vikuu vya habari.

English

am sending my condolence to your lovely mom, your young bro, your family members, our bongo movie friends and the entire tz community.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika nyumba kubwa kuna mabakuli na vyombo vya kila namna: vingine ni vya fedha na dhahabu, vingine vya mbao na udongo, vingine ni vya matumizi ya pekee na vingine kwa ajili ya matumizi ya kawaida.

English

but in a great house there are not only vessels of gold and of silver, but also of wood and of earth; and some to honour, and some to dishonour.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@saddiqueshaban: ninatarajia kwa dhati baraza la habari @mediacouncilk linafuatilia kwa makini yanayofanywa na vyombo vya habari kipindi hiki wanaporipoti tukio hili #nairobiblast.

English

@saddiqueshaban: i sincerely hope @mediacouncilk is keenly watching the conduct of media houses as they report on the #nairobiblast.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@sheofnations: @simonallison kupuuzwa huko kunaleta maana kukifanywa na vyombo vya habari vya kimataifa, lakini ni tatizo sana inapotokea kuwa habari kuhusu bara hili zinachunjwa kupitia vyombo vya habari vya kimataifa.

English

@sheofnations: @simonallison makes sense for int'l content,but it's highly problematic that news about the continent is filtered through int'l media houses

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,783,380,226 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK