From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa njia yake vitu vyote viliumbwa; hakuna hata kiumbe kimoja kilichoumbwa pasipo yeye.
all things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
maana kwa njia yake vitu vyote viliumbwa duniani na mbinguni, vitu vinavyoonekana na visivyoonekana: wenye enzi, watawala, wakuu na wenye mamlaka. vyote viliumbwa kwa njia yake na kwa ajili yake.
for by him were all things created, that are in heaven, and that are in earth, visible and invisible, whether they be thrones, or dominions, or principalities, or powers: all things were created by him, and for him:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, kwetu sisi yuko mungu mmoja tu: baba, muumba wa vyote, ambaye kwa ajili yake sisi tuko. pia yuko bwana mmoja tu, yesu kristo, ambaye kwa njia yake vitu vyote viliumbwa, na sisi twaishi kwa njia yake.
but to us there is but one god, the father, of whom are all things, and we in him; and one lord jesus christ, by whom are all things, and we by him.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: