From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
majadiliano kuhusu vita vinavyoendelea balochistani ni nadra.
public discussions on balochistan's war are rare.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
amina ni mfungwa wa unafiki wa kisiasa nchini tunisia na kimya cha wale wanaojidai kuwa wanademokrasia lakini hawajaribu kuonyesha msimamo katika vita hivi vinavyoendelea.
amina is the prisoner of the tunisian political hypocrisy and the silence of those claiming to be democrats but do not dare to take sides in this ongoing battle.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini wafuatiliaji wa uhuru wa vyombo vya habari waliainisha vitisho vinavyoendelea, changamoto na mashambulizi waliyokwisha kuyapata waandishi wa habari waishio nchini myanmar kwa mwaka uliopita.
but press freedom watchdogs also highlighted the continuing threats, difficulties and attacks experienced by myanmar-based journalists throughout the past year.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
usiku wa mkesha wa siku ya kujivunia weusi nchini brazil – inayosherehekewa tarehe 20 novemba, wakati nchi inapofufua vita vinavyoendelea dhidi ya ubaguzi - circo voador audiovisual collective ilifanya jaribio.
on the eve of brazil's black pride day – celebrated on november 20th, when the country renews its ongoing fight against discrimination – the circo voador audiovisual collective did an experiment.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
miundo inayoweza kubadilika ndani ya vipimo vinavyoendelea vya awamu ya ii-ii katika matibabu yaliyoteuliwa inaweza kufupisha muda wa majaribio na kutumia wahusika wachache, ikiwezekana kuharakisha maamuzi ya kukamilisha mapema au kufaulu, na kuratibu mabadiliko ya muundo kwa majaribio fulani katika maeneo yake ya kimataifa.
adaptive designs within ongoing phase ii-iii clinical trials on candidate therapeutics may shorten trial durations and use fewer subjects, possibly expediting decisions for early termination or success, and coordinating design changes for a specific trial across its international locations.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: