Results for vinavyopinga translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

vinavyopinga

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

maciej sadkowski anaelezea maoni yanayotawala katika moja ya vikundi vinavyopinga uamuzi huo :

English

maciej sadkowski expresses the dominant opinion of one of the groups opposing the decision :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwandishi wa habari jenan moussa amerudi mjini aleppo, nchini syria, akitwiti tajiriba yake kadri vita kati ya vikosi vinavyopinga serikali na vile vinavyoiunga mkono serikali inavyozidi kushika kasi.

English

journalist jenan moussa is back in aleppo, syria, tweeting her experiences as the war between pro- and anti-government forces intensifies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

derakshan anashitakiwa kwa "kushirikiana na dola adui, kupiga propaganda dhidi ya utawala wa kiislamu, kudhihaki utakatifu wa kidini, na kuandaa propaganda kwa ajili ya vikundi vinavyopinga mapinduzi."

English

derakhshan has been accused of “collaborating with enemy states, creating propaganda against the islamic regime, insulting religious sanctity, and creating propaganda for anti-revolutionary groups.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

zaidi ya watu 191,000 wameshapoteza maisha yao katika ugomvi unaohusisha umwagaji damu wa kugombania kuiongoza nchi ya syria, ugomvi uliopo baina ya vikosi vya wanajeshi vinavyomtii rais bashar al-assad na vikundi vinavyopinga uongozi wake. ugomvi huu uliibuka kwa mara ya kwanza wakati wa vuguvugu la maandamano ya waarabu katika eneo hilo.

English

more than 191,000 people have died in the bloody conflict for control of syria between forces loyal to president bashar al-assad and the factions that are opposed to his rule, who first rose up during the wave of arab spring demonstrations across the region.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,774,182,753 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK