Results for vipi huko mzunguko wa kiuchumi pa... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

vipi huko mzunguko wa kiuchumi pamoja na biashara

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

serikali pamoja na ulama wanajaribu kukuza utawala wa kidini kwa msingi mdogo wa utafiti wa kijamii na kiuchumi pamoja na maarifa, na badala yake kujaribu kukuza mila zinazolingana.

English

government and ulama are trying to develop theocracies based little social and economic research and knowledge, and promote ritualized conformity instead.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

demetrio aliwakusanya hao wafanyakazi pamoja na wengine waliokuwa na kazi kama hiyo, akawaambia, "wananchi, mnafahamu kwamba kipato chetu kinatokana na biashara hii.

English

whom he called together with the workmen of like occupation, and said, sirs, ye know that by this craft we have our wealth.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

picha kutoka ukurasa wa facebook wa kituo cha hifadhi ya tembolaos hapo awali ilijulikana kama ‘ardhi ya mamilioni ya tembo’ lakini hadi sasa idadi ya tembo imeshapungua hadi kufikia mamia kadhaa kutokana na uwindaji haramu pamoja na biashara haramu ya pembe za ndovu.

English

photo from facebook page of elephant conservation centerlaos was once called the ‘land of a million elephants’ but today elephant population has been reduced to several hundreds because of poaching and illegal ivory trade.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanzoni lilianzishwa kama vile soko la boa vista, eneo la biashara lilikuwa pengine ndio sehemu pekee ambayo palikuwa na uwezekano wa kupata bidhaa zozote – japokuwa kwa njia za vificho, pamoja na bunduki na biashara ya silaha na pia huduma za ngono za watu wazima pamoja na watoto.

English

initially designed like the boa vista market, the commercial area was perhaps the only location where it was possible to find a little bit of everything – albeit through hidden means, including guns and arms trafficking and both adult and child sexual services.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ni pamoja na kuanzisha kwa muda baadhi ya vidhibiti vya mpaka, vikwazo vya kusafiiri ndnai ya nchi, kufunga au kuzuia huduma za mikahawa na biashara zingine, kupiga marufuku matukio makubwa ya umma, na katika visa vikali zaidi kuwazuia watu kutoka nyumbani isipokuwa kwa sababu muhimu.

English

these include the temporary reintroduction of some border controls, restrictions on travel within the country, closing or limiting service at restaurants and other establishments, banning large public events, and in the most severe cases prohibiting people from leaving the house except for essential reasons.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkakati wa kufunga barabara unaotumiwa na wazawa na jumuiya za campesino kama namna ya hamasa za kisiasa na kama namna ya kuhamasisha utatuzi wa changamoto zao unapingwa vikali na taifa pamoja na mkundi yenye ushawishi mkubwa wa kiuchumi haswa haswa kundi la watu wafanyabiashara la cacif*, ambalo limeshahamasisha kuwashikilia watu kama namna ya kukiuka haki ya watu kuwa na uhuru wa kutembea.

English

the strategic use of roadblocks by indigenous and campesino organizations as form of political pressure and re-vindication is harshly contested by the state and powerful economic actors, especially the business lobby cacif*, which has campaigned for the prohibition and repression of blockades as violations of the right to freedom of movement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matukio yote haya yamefanyika wakati ambao imebainika kwamba, wakati nchi hiyo ikipitia kipindi kizito cha mtikisiko wa kiuchumi pamoja na kukumbwa na matatizo ya kijamii, waziri wa elimu, josefina pimentel, aliongeza mshahara wake mwenyewe kwa asilimia 62 , kutoka rd $ 185,000.00 na kufikia rd $ 300,000.00 kwa mwezi, sawa na dola $ 7,500.

English

all of these incidents have taken place as it was revealed that, during the precarious economic conditions and high social tension the country is currently facing,

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,793,363,630 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK