From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
vyombo vya habari vilikuwa vikimilikiwa na vyama vya siasa.
the media used to be run by the political party.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vyama vingine vyote vya siasa vinaogopa kuzungumzia jambo hili.
all other political parties are afraid of talking about this issue.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nyie vyama vya siasa, kuweni wawajibikaji na onyesheni kuwa mko vile ambavyo mnadai kuwa.
come on parties, be responsible and demonstrate that you are who you claim.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vyama vya siasa vimeanza kutumia mitandao ya kijamii kwenye intaneti ili kufikisha ujumbe.
interestingly, the political parties have begun to make use of social media and social networks to get their message across.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
je vyama vya siasa havina fedha za kuwapa walioathirika au eneo hili si muafaka kwa kampeni?
is it that the parties do not have the money to give out to the victims or the area is not campaign friendly?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vyama vya siasa nchini afrika ya kusini vimo katika hatua za mwisho za kampeni ya uchaguzi ujao.
there is a final push by political parties contesting the upcoming elections in south africa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
siku hizi vinaweza kuwa kwa niaba ya serikali au vipinga serikali, lakini bado vinamailikiwa na vyama vya siasa.
today they can be pro-government or anti-government, but are still run by political parties.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hii si mara ya kwanza vyama vya siasa vya mrengo wa kushoto kukabiliwa na madai ya kudumaza tunu zake za kimaendeleo.
this is not the first time political parties from the left faced accusations of letting down their own "progressive" values.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
vyama vya siasa vichunguze masuala ambayo washiriki wnegi hawakuyakubali au waliyapinga au walishangazwa nayo, hata hivyo wasiyazingatie sana.
they should take a particular note of respondents disagreements or dismay or disapproval, but not to read too much into it.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pia amejuza kuwa huu msimamo usio wazi wa vyama vya siasa katika mambo mbalambali umebaki kuwa ni msingi wa vyama hivyo sasa.
regardless if it was cpy, sdsm or vmro-dpmne.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vyama vya upinzani vya nchini humo vimeungana kwa makusudi ya kuunda serikali.
lesotho opposition parties have formed a coalition in order to form government.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
vyama vya upinzani vya afrika kusini vilipongeza hukumu hiyo kama maendeleo chanya.
south africa’s opposition parties also hailed the conviction as a positive development.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
umati capital – huduma za vyama vya ushirika, wafanyabiashara na shughuli za viwanda
umati capital – factoring for farmer cooperatives, traders and processors
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
augustus karube alifikiri utafiti huo unatoa taarifa muhimu kwa vyama vya siasa na alifikiri namna viongozi wa vyama vya siasa wanaweza kutumia utafiti huu:
augustus karube thought the poll provides useful information for political parties and wondered how their leaders are going to use it:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya majadiliano ya kisiasa nchini ethiopia, viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vya somalia walikubaliana kuchukua hatua za kisiasa ili kumaliza kipindi cha mpito na kumchagua raisi mpya.
after political discussions in ethiopian, leaders of various somali parties agreed to political steps to end the transitional period and elect a new president.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
1) vyama vya siasa vya upinzani vitaongeza upinzani wao kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni, baada ya kupewa nafasi finyu katika vyombo vya habari vya magazeti na televisheni.
1) opposition parties will continue to fight the hardest through online media, after being granted limited access to print and electronic media
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jukwaa la msumbiji liitwalo olho cidadão (jicho la wananchi) lilizindua blogu mpya tarhe 2 aprili, 2013, kwa uchambuzi wa uwepo wa vyama vya siasa mtandaoni .
mozambican platform olho cidadão (eye of the citizen) launched a new blog on april 2, 2013, with an analysis of the presence of political parties on the internet .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hatua hiyo itaimarisha mshikamano miongoni mwa vijana, wanawake, makundi ya watu walio kwenye hali ngumu na vyama vya kijamii.
it will strengthen further the integration of the youth, women, vulnerable groups and the civil society.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
siku za nyuma, mijadala ya kisiasa katika vyuo vikuu mbalimbali nchini humo ilizimwa kirahisi kwa sababu vyama vya wanafunzi viliingiliwa na wanasiasa.
in the past, the political fervor of university campuses has often been tempered when student bodies have been co-opted by political elites.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kufuatia kujitokeza watu wachache sana waliokadiriwa kuwa asilimia 50 tu mwaka 2011, tume ya uchaguzi na makundi ya asasi za kiraia yana wasiwasi kwamba katika uchaguzi wa mwaka huu watu wachache zaidi watajitokeza hasa baada ya kukatishwa tamaa na yanayofanywa na vyama vya siasa.
with a high abstention rate estimated at 50pc in 2011, the electoral commission and civil-society groups are concerned that this year's turnout rate will be lower in the face of a growing popular disappointment with political parties.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: