Results for wa ukweli hee translation from Swahili to English

Swahili

Translate

wa ukweli hee

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

rafiki wa ukweli

English

a friend of truth

Last Update: 2025-01-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu wa ukweli tu ndiye anaweza kuhukumu, si kudharau binadamu

English

Last Update: 2020-12-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

habari mpya: utambulisho wa ukweli wa mbunge huyu wa uganda umefunuliwa kwenye video hii hapa.

English

update: the true identity of the ugandan delegate is revealed in this video.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hivyo ndivyo tuwezavyo kuwa na hakika kwamba sisi ni watu wa ukweli; na hatutakuwa na wasiwasi mbele ya mungu.

English

and hereby we know that we are of the truth, and shall assure our hearts before him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini sisi ni wake mungu. mtu anayemjua mungu hutusikiliza, mtu asiye wa mungu hatusikilizi. basi, kwa njia hiyo tunaweza kutambua tofauti kati ya roho wa ukweli na roho wa uongo.

English

we are of god: he that knoweth god heareth us; he that is not of god heareth not us. hereby know we the spirit of truth, and the spirit of error.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini kama nikicheleweshwa, basi, barua hii itakufahamisha mwenendo tunaopaswa kuwa nao katika nyumba ya mungu, ambayo ni kanisa la mungu aliye hai, na ambalo ni nguzo na msingi wa ukweli.

English

but if i tarry long, that thou mayest know how thou oughtest to behave thyself in the house of god, which is the church of the living god, the pillar and ground of the truth.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hapo pilato akamwambia, "basi, wewe ni mfalme?" yesu akajibu, "wewe umesema kwamba mimi ni mfalme. mimi nimezaliwa kwa ajili hiyo; na kwa ajili hiyo nimekuja ulimwenguni kuwaambia watu juu ya ukweli. kila mtu wa ukweli hunisikiliza."

English

pilate therefore said unto him, art thou a king then? jesus answered, thou sayest that i am a king. to this end was i born, and for this cause came i into the world, that i should bear witness unto the truth. every one that is of the truth heareth my voice.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,948,285,187 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK