Results for walifikia translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

waandamanaji walijikuta wakikabiliana vikali na polisi, na baadae, wakati wa vurugu hizo, waandamanaji walifikia hatua ya kupindua magari ya polisi.

English

the protest turned into a confrontation between police and protestors, the latter turned over police cars in the process.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisa kilicho maarufu zaidi kilikuwa kile cha nyumba ya misumari ya chongqing cha mwaka 2007, ambapo wanandoa fulani walifikia makubaliano na mwendelezaji baada ya miaka mitatu ya mvutano.

English

the most famous one was the chongqing nail house case in 2007, when a chinese couple reached negotiated agreement with the developer after 3 years of standoff.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walioomba kupata ufadhili wa sauti zinazochipukia (rising voices) kwa misaada midogo ya kifedha kwa mwaka 2012 walifikia 1200, takribani ongezeko la karibu asilimia 50 ya kiwango cha mwaka 2011.

English

applicants for rising voices micro-grants in 2012 topped 1200, a nearly 50% increase over the 2011 figure.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,737,309 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK