From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mahudhurio yalikuwa ya kutia moyo ambapo zaidi ya wanablogu 20 walishiriki.
the turnout was quite impressive with more than 20 bloggers in attendance.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
watu walishiriki kwa kiasi kikubwa, katika jiji kuu la nchi hiyo pamoja na majiji mengine.
the people participated massively, in the capital and in other cities of the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ndio maana aliamua kuwaadhibu walimu bora 108 kwa sababu tu walishiriki kwenye mgomo uliofuata sheria.
this is why he decided to punish 108 of the best teachers because they participated in legal strikes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maelfu ya vijana walishiriki kwenye maandamano ya kwanza ya wanafunzi yaliyofanyika mwaka huu mwezi machi huko concepción.
thousands of young people participate in the first student march of the year in concepción.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa imani aliishi kama mgeni katika nchi aliyoahidiwa na mungu. aliishi huko katika hema kama walivyoishi isaka na yakobo, ambao pia walishiriki ahadi ileile.
by faith he sojourned in the land of promise, as in a strange country, dwelling in tabernacles with isaac and jacob, the heirs with him of the same promise:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
hatimaye jumla ya watu 222,990 walishiriki kwenye uchaguzi huo wa majaribio, ambapo asilimia 54.6 walipiga kura bila kuandika chochote kwenye karatasi za kura.
eventually, 222,990 people voted in the mock election, in which 54.6% cast blank votes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati tukio la charlie hebdo lilivuta hisia za hisia za watu wengi huku zaidi ya wakuu 40 wa nchi walishiriki kwenye mkutano wa mshikamano wa kitaifa, tukio la mauaji ya baga halikupewa uzito unaostahili.
while the latter saw an unprecedented show of sympathy with more than 40 heads of states participating in a rally of national unity, the former received scant coverage and attention.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
madikteta wa zamani kama ben ali wa tunisia, suharto wa indonesia, yakubu gowan na nigeria, nicolae ceaușescu wa romania wote walishiriki kuchakachua mitazamo ya jamii ili kupalilia udikteta wao na kujaribu kuficha hali halisi ya mambo na hata hivyo hawakuweza.
former dictators: ben ali of tunisia, suharto of indonesia, yakubu gowan of nigeria, nicolae ceaușescu of romania all engaged in social-engineering at the height of their dictatorships to try and conceal the true state of affairs but all in vain.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa nini mdc walishiriki kwneye uchaguzi huo wakijua kuwa ulikuwa umevurugwa tangu mwanzo? #zimbabwedecides — andiva (@andyandiva) august 3, 2013
so why did mdc participate in the elections with knowledge it was flawed from the onset? #zimbabwedecides — andiva (@andyandiva) august 3, 2013
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mitazamo yenye utata kuhusu yalioyotokea imechapishwa mtandaoni, ukiwemo ule uliotolewa na mamlaka za guerrero iliyosema kuwa maandamano haya “si ya kwaida” na kuwa kuna “watu wengine” wasiohusiana na wanafunzi ambo walishiriki katika maandalizi ya maandamano.
contradicting versions of events have been published online, including the version given by the authorities of guerrero who said this protest was “unusual”, and that “strange agents” not related to the students participated in the mobilization.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: