From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wakati huo huo, watu wa bahrain walishuhudia siku ya kwanza ya mwaka mpya kwa changamoto mbalimbali.
at the same time, bahrainis experienced new year's day with many twists.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pia aliwatuhumu askari polisi pamoja na maafisa wengine kuwa walifahamu fika tukio lile na pia walishuhudia mauaji yale.
he also claims the police, including officers, were standing by and watching as the lynching took place.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wafungwa 41 wa kisiasa bravely walichapishakwa weledi mkubwa taarifa iliyokuwa inasema walishuhudia dalili za kuteswa katika mwili wa sattar.
41 political prisoners bravely published a statement saying they witnessed signs of torture on sattar's body.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwandishi meri jordanovska wa tovuti ya plusinfo alisema walishuhudia polisi wakitumia nguvu wakati wakimkamata kijana na kumweka chini ya ulinzi:
journalist meri jordanovska for web portal plusinfo said they witnessed police acting violently while taking a young man into custody:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mapema mwezi machi mwaka huu, watazamaji walishuhudia jumla ya wafanyakazi wa muda mrefu katika kituo cha kikristo cha kulelea watoto yatima wapatao 20 wakifukuzwa kutoka katika nchi ambayo wanaiona kama nyumbani.
in early march, observers watched as around 20 long-time christian orphanage workers were expelled from the country they called home.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wamisri walishuhudia hukumu isiyotarajiwa katika historia ya vyombo vya sheria nchini humo: bilionea hesham talaat moustafa, pamoja na mamluki wake (mpiga risasi wa kukodi) mohsen el sokari wamehukumiwa adhabu ya kifo kutokana na kuhusika kwao katika mauaji ya mwimbaji wa kilebanoni suzanne tameem.
egyptians witnessed the most unexpected verdict in the history of their judiciary system: billionaire hesham talaat moustafa, along with his hired hitman mohsen el sokary, have both been sentenced to death for their roles in the murder of lebanese singer suzanne tameem.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: